ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Hasahasa mafundi nyumba na furniture yaani hawa katika historia zao lazima tu wamepelekwa polisi sana wamekula hela ya kutengeneza kitanda au advance halafu wanaleta sound..
Ila hao mafundi watata watata ndo unakuta wakifanya kazi matokeo mazuri.kazi zao zinawafanya watafutwe na watu kikubwa ni kuwa makini nao tu ukiwapa advance mzee lazima wakakinukishe bar wajaze vyupa.