Sijui kwanini Mikutano mikuu ya CCM na Chadema imeongozana, ila kama Lisu atashinda lazima CCM wataitisha Mkutano mkuu wa Dharura!

Sijui kwanini Mikutano mikuu ya CCM na Chadema imeongozana, ila kama Lisu atashinda lazima CCM wataitisha Mkutano mkuu wa Dharura!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ni kama vile hapa Dodoma CCM Wana Imani mh Freeman Mbowe atashinda kule Chadema ndio sababu huu Mkutano mkuu wa CCM uko Sawa na Ule wa Chama Cha Kikomunisti Cha China

Akishinda Lisu hizi swagger ZOTE zitafunikwa na itabidi CCM kuja na Mbinu za kumkabili kwani October siyo Mbali

Mnasalimiwa na Komredi Mgaya tunaye hapa Dodoma 😂😂
 
Hii si bahati mbaya ccm kufanya tukio lao katikati ya matukio ya chadema. Wangepishana hata mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom