maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,311
- 15,640
Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu.
Ila tuache utani wachepukaji tunakua na maoption sana maana nikikumbuka visu nilivokua nakula hadi nilikuaga najishangaa kweli mi ndo nakula hii kitu, mbona ikienda miss TZ inashinda? Kwakweli ukiona mtu kaoa pisi kali basi ujue asilimia 90 alikua mchepukaji na
huenda kastaafu au ndo zile kama zangu unaendeleza libeneke kiaina.
Nasubiri fainali hapa Senegal na Egypt nikajikuta nimewaza safari ya uchepukaji. Mniombee Senegal akishinda nisijejipongeza kwa kula mchepuko maana.