Sijui kwanini navichukia sana vitu vinavyopendwa na wanawake

Sijui kwanini navichukia sana vitu vinavyopendwa na wanawake

yuzazifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2018
Posts
5,108
Reaction score
9,469
Natumai hamjambo wakuu.

Wakuu nimejikuta nina huu ugonjwa ambao hata sijui umetokea wapi, yaani nimejikuta navichukia vitu karibia vyote vinavyopendwa na wadada, mfano viepe (chipsi), matumizi ya emoji na nk. Napovitumia najihisi kama nafanya mambo yakike.

Je, hii ni hali ya kawaida au kuna pahala nitakua nakwama wakuu?
 
Jamani, hata papaa nayo unaichukia...??[emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Papuchi zao pia wanazipenda, Vipi nazo unazichukia?
 
Picha linaanza ww sio mwanamke ss utapendaje visivyokuhusu..[emoji38][emoji38][emoji12]
 
Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa naye katika mazingira fulani, kulikuwa kuna baridi sana ile hadi midomo inapasuka, sasa nikawa namwambia awe anapaka mafuta midomoni ili kuzuia midomo kupasuka, akawa anasema akipaka si ataambiwa amekuwa kama wanawake wanavyopaka lip shine.

Lakini sio kweli kwamba angepaka angeonekana kama mwanamke,bali ni mtazamo wake tu, maana hata mimi nilikuwa nikipaka lakini hakujua kwa sababu sikuwa nikipaka ili kung'arisha midomo, bali nilipaka ili kuzuia midomo kupasuka, hivyo athari ya kupaka ilikuwa haionekani.

Hivyo sio uanaume saana kutofanya mambo fulani eti kwa sababu wanawake wanapenda kuyafanya, na kuna mambo kibao ambayo wanaume tunafanya na wanawake wanapenda kuyafanya, hivyo utaacha mangapi?

Mwanaume hufanya mambo yake kama mwanaume.
 
Back
Top Bottom