Sijui kwanini navichukia sana vitu vinavyopendwa na wanawake

Aisee, hongera mkuu kwa kupaka lip balm๐Ÿ’„๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Aisee, hongera mkuu kwa kupaka lip balm[emoji168][emoji41][emoji41]
Wapi nimesema nimepaka lip balm?

Sijui kama umesoma kwa makini na kuelewa nilichokiandika.
 
...wewe kama mimi.
...ongeza na harusi.-sizipendi mno.

...ninachangia sana harusi za watu..ila mimi nimegoma kufanya-japo hata wife naye sio MTU wa hayo mambo kivile.
Kuna yale mambo ya birthday
Nayachukia mnoo.
 

Ndo wale hawapaki mafuta mwilini
Ndo wale hawanyoi ama kutrim manyoya yakizidi kisa wataonekana wakike

Kujiweka rafu rafu Sio uanaume.

Yaani eti chipsi , viazi vilivikaangwa, ni chakula cha kike? Vyakula vya kiume vikoje? ๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ