Sijui kwanini nimeumia hivi

Duuh🤔🤔
Ndio hivyo alafu mtu kama huyu anakuja kukutafuta analalamika umemtenga, humsaidii kwa chochote.

Mi ni mwepesi sana kutoa msaada na hela ambazo hata sina 😂 ila kitu ambacho sipendi ni mtu kunitumia kujinufaisha, nikishajua na kubaini hilo ndio basi. Nabaini kupitia mambo kama hayo ya mtu kuona umuhimu wakati akiwa na uhitaji na hapa ndio binadamu wengi utawajua kuwa ni wema wakiwa na shida ila kiuhalisia sio.
 
Dah ila wanaume tunahuruma sana na hawa viumbe sema nao kwakujitoa ufahamu sifuri. Yan anashindwa kutoa tu taarifa kuwa kapata huduma na kuongeza maneno mawili matatu ya ukweli au uongoò???
Dah ndo wana wa adamu tulivyo
 
Kwakweli, Bora wewe ulilijua mapema
 
kwanza nine jisikia faraja kusikia ume tenda wema.

kuhusu shukrani USI iwazie sana mkuu, binadamu Wana differ Sana huenda hakukuona Kama mtu wake wa karibu.

kingine uki kutana nae USI igize unafiki, just laugh a little Kisha tembea zako. Mana she doesn't deserve your attention again.

And last Nili jua ana hitaji counselling, Ninge Sema mlete tu🤓😂
 
🤣🤣🤣🤣dah hatari sana
 
Dah ila wanaume tunahuruma sana na hawa viumbe sema nao kwakujitoa ufahamu sifuri. Yan anashindwa kutoa tu taarifa kuwa kapata huduma na kuongeza maneno mawili matatu ya ukweli au uongoò???
Dah ndo wana wa adamu tulivyo
Kuna watu wana tabia za ajabu mno, wakishavuka shida moja wanasahau kuwa sio mwisho wa shida na kusaidiwa, na hata kama ni mwisho kushukuru ni jambo la muhimu sana.
 
Imenisikitisha sana,binadamu wengine ni wa ajabu sana,usishangae akaanza kuwaambia watu wewe ndio ulimloga mwanae.
 
Ushauri mbaya huo, usimtafute tena huyo rafiki yako. Kwa ufupi ishi naye kinafiki na/au ua kabisa huo urafiki.
Kanuni ya utoaji haki inasema: Ni lazima mtu asikie upande wa pili, upande wa pili ni lazima usikilizwe.

Kutoa hukumu bila kufanya hivyo ni ubatili. Ushauri huo ni mzuri, hata yeye mwenyewe bado hajausikia upande wa pili na anahitaji kufanya hivyo ili wote tupone
 
Pole sana. Japo wanasema kwamba tenda wema nenda zako lakini hili linaumiza sana.
Huyo ni mtu wa ajabu sana na Hathamini. Kata kabisa mazoea naye, kuwa na rafiki kama huyo kwenye maisha ni bure, na hakuna kitu mtakachojenga.

Anyways, amefanya vibaya sana,.. I pray for you mabaya makubwa yampate na kumpa funzo kubwa juu ya huu upumbavu alioufanya. Stay calm
 
ukute ndio tabia yake na hata baba mtoto ameshajionea mengi zaidi ya uliyoona wewe.. hapo unaweza kuita baba mtoto ni katili ukute ata alishaambiwa si mtoto wake!.
huko kupost jua kuna mtu alikuwa anapewa ujumbe na huyo wakupewa huo ujumbe ni aidha huyohuyo baba mtoto!. pole limekukuta na likushuke hivyo ndivyo baadhi ya wadada mlivyo ni wabinafsi wamwisho hakuna anaewafikia!.

kuhusu shukurani we tulia atakutafuta huenda kuna kitu ame plan.
 
Kuna namna huyo bidada anatambua umuhimu wako ndani yake ,hata kama hajakuonyesha kwa njee ,chukulia tu poa ,pia tambua kuna watu hawataki kukuonyesha kukukubali kwa sababu ni washindani wako wanashindana na ww kimya kimya.
 
Yeah ni kweli, but sometimes kushukuru kunamfanya aliyekusaidia ajiskie vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…