Sijui kwanini nimeumia hivi

Niko poa saizi kipenzi, comments za wanaJf zimenipa relief.. Halafu nimekuwekea micargo pants ulisema unakuja na hujaja[emoji58][emoji58]
Oooh sorry dear, jmos ntakuja hapo maeneo.
Maana nlibanwa hii week hatari, c unajua kufight na life mtaani kugumu.
 
Tupa jongoo na mti wake! Pumbavu kabisa hilo single maza! Duniani kuna watu na viatu! Hicho ni kiatu!
 
Ulifanya Jambo sahihi na unapotoa sadaka uwaze zaidi moyo wako. Fikiri ungesita kutoa asubuhi ukasikia taarifa ya tofauti. Ulichofanya ni sahihi wala usisite kumsaidia mwingine kwa sababu za huyu asie na Busara.
 
Siku zote ishi kwa kusaidia bila kutegemea malipo yeyote. Iwe ya shukrani ama chochote.

Kwa sababu hata shukrani isingekuongezea chochote.
My philosophy, nikikusaidia usinishukuru lakini usinidharau.
Huyo Dada kasaidiwa lakini kitendendo alichotenda ni dharau kwa mtoa mada
 
Hii ndio gharama ya kujipendekeza kwenye maisha ya watu🤔🤔
Ungempa 5000 apite hivi na amekuwekee hizo status uone 350000 yako sio kitu..
 
Kweli kabisa mkuu
Kwa kweli mimi marafiki walikuwa utotoni ila kwa sasa sithamini urafiki maana najua ni usanii na maslahi yao tu

Hata aje na mbinu gani
 
Mzee pole, kimsingi huwez kufa kisa umemsaidia laki tatu na nusu, let it go na kausha, usiseme kitu kama atakuwa anajambo la kukwambia atakutafuta yeye, wewe part yako ulifanya na ulifanya kwa moyo wote so kausha mzee, wanawake wanajijua wenyewe usiumize kichwa na mastatus yake hayo they are nothing..
ee
 
Shida hazina mwisho we achana nae umia ivoivo ila yataisha2... atarud tena
 
Me nlishaga acha kuwaonea huruma wanawake, there must be an arrangement where we meet in between, yan kama communication ni iwe back and forth, lazima kuwe na reciprocate ya vitu, yan Quid pro quo. Wanawake tunatakiwa tuwapende sawa ila usiwaonee huruma, yan ukiwaonea huruma kuna namna huwa wanakuja kuona ile huruma ni haki yao, ukitrip kidogo tu anaona umemkosea. Mzee mind your own business wanawake watakupotezea muda huu ni ukweli lakini ni mchungu, once you have solved their problems women dont give a shit about you. Mungu atakulipa masta.
 
Shida ya akina mama ndio hii sio wote ila baadhi they can’t move on,yaani mm ningekaa kimya tu na ningemuambia mama pia mchezo wote uliotokea ili mumpotezee mazima possible baba mtoto amemuita wakalee mtoto don’t worry they will come back and ile roho yako itakua na Majibu zaidi and never ask her anything kuhusu hilo tukio
 
. sana huyo rafiki yako
Sema shida haziishi atakuja tu mwenyewe
Usiumie bro. Umetenda ulivyopaswa kutenda. Umeshapata thawabu zako kwa Mungu. Yeye litamtokea tukio kubwa zaidi na atakuja tena kwako. Jiandae kuchukua maanuzi magumu ama kumsaidia au la. Na siku hiyo haiko mbali.
 
Mind your own busness, lengo lako limeshatimia,umeokoa maisha ya malaika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…