Sijui kwanini nimeumia hivi

Pole mkuu, haya mambo yapo toka zamani,hata katika vitabu vitakatifu vinatueleza kulikuwa na watu kama hao

Katika Luka 17:11-19 Yesu aliponya wenye Ukoma watu 10, lakini katika hao kumi, alirudi mmoja tu kushukuru.

Hivyo na wewe achilia hayo maumivu ,maana umeitenda kazi ya Mungu kuokoa roho ya mtoto. Akiendelea kudai haki ya kushukuriwa hata ile dhawabu uiliyoipata mbele za Mungu utaipoteza na kuzaliwa dhambi ya kulaumu na manung'uniko. Jifunze kusamehe.
 
Pole

Pole na hongera watu ni wabinafsi na wakosa shukrani in a way wanaipa kutu mioyo ya watu wema nimekupenda natamani uwe rafkiangu. Well chakufanya usimuulize na umroe kwenye list ya binadamu yani unapoona call yake ujue ni nyoka na ukaribu utakuumiza zaidi. Mwambie Mungu ikumbuke sadaka yangu. Achana nae na akikuuliza mwambie ukweli kama ulivoandika hapa. I love u already
 
Huyu sio rafiki ni pepo .achana nae kabisa sio mtu mzuri kwako ipo siku utalia ila kwa uliyofanya kwa mtoto mungu akubaliki sana .achana nae.ni hilo pepo
 
Thank you πŸ™πŸ™
 
Mkuu awali ya yote nikupongeze kwa utu ulouonesha kwa yule mtoto maana nafahamu ulimwangalia mtoto kwa jicho la kama mwanao

Swala la taarifa ilipaswa afanye hivyo maana ni uungwana kukujuza kinachoendelea.

Uzuri umekiri, yenda wema nenda zako. Hapo mkuu huna hatia hata mbele za Mwenyezi Mungu. Umetimiza agizo la mwenyezi Mungu [pendaneni]
 
Huyo anaonekana hana heshima. Kushindwa kukupa hata taarifa ni kukudharau. We hapo mueleze alivyozingua ili ajue maana tofauti na hivyo atajiona yupo sawa na atakuona kua anakumiliki.

Baada ya hapo usije mpa tena muda wako
Asante kwa ushauri mzuri kiongozi πŸ™πŸ™
 
Nimekupenda bure!

That's true African woman should be like that! really touching aiseh!I appreciate it!!

Shukuru mtoto amepona TU!!Hilo jingine ni tatizo lake binafsi!!

Mara nyingi Huwa mnasumbuliwa na wivu na kisirani Cha wenyewe Kwa wenyewe!!

Anaweza his anakukomoa au unajidai una kazi na hela!kumbe ni wema wako tu!!

Kama una uchungu fumba macho mwambie Mungu nakushuru mtoto amepona!naomba unibariki TU Mimi na wazazi wangu!!

Yule mtoto ni WA mungu sio was kwake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…