Sijui kwanini nimeumia hivi

Sijui kwanini nimeumia hivi

Nashukuru lilipita mkuu, niko vizuri saizi
Bado,we subiri kumbukumbu za karma zikimrudia atajua why ni bich
Hizi mambo hazinaga papara.
Kwa mwezi anaweza kuview Tiktok profile yangu zaidi ya mara 3,na anajua naona kama kaview na naelewa anatafta namna ya kuongea na mimi but me kama kawa kimyaaa😎
 
Leejay49 kama wewe ni Muislam nakushauri tu siku nyengine ukitoa msaada fanya kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah tu.

Usitegemee kabisa shukran za watu. Japo tumefundishwa kuwa na shukran na kurudisha wema na kuulipa na tukikosa cha kulipa tuwaombee waliotusaidia na kutufanyia wema mpaka tuhisi tumewalipa walichotufanyia. Ila usitegemee kuwa kila mtu atakufanyia hivyo. Tegemea malipo kutoka kwa Allah pekee. Yeye hasahau.

Kuwaridhisha watu ni kilele kisichofikiwa. Tafuta radhi za Allah tu.
 
Baba wa mtoto kamwacha kamuona hafai wewe ni nani wa kujipendekeza. Dunia inahitaji watu makatili.
 
Watu wema wanaonekanaga ni wadhaifu, Wewe endelea na maisha yako. wala hata hilo lisikusumbue.. atakupigia tena akiwa na shida.
 
Mwambie mchane ili ajue na ww moyo wako uwe huru. Akuna kulemba dunia ya sasa.



KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom