Tafuta dini yako ukaombeWakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye tuliyeambiwa tukupe vyako vilivyo vyako na vya Mungu vilivyo vya Mungu?
Mbona unamsaidia sana tu. Even his enemies are making him famous, I bet you are one of them!Wakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo mengine yamekaa kisichana sichana
Umemaliza kila kitu, mkuu ningekuwa karibu ningekupooza hata na wekundu watano waliobakia wote wamekomenti utumbo tu,kwa maoni yangu kuna vitu viwili vinaweza kuwa vimechangia kukufanya uwe na hali hiyo;
1. ni kwamba watu wengi humu jukwaani wanampenda mno diamond hadi kufikia kumzidishia sifa, kulazimisha wengine wawe na mawazo kama yao, kuforce ulinganifu na wanamuziki wengine (katika hili muathirika mkubwa ni alikiba.....kila atakachokifanya atalinganishwa na diamond; kiwe kikubwa kiwe kidogo lazima ilazimishwe kionwe kuwa ni cha kiwango cha chini humu kulinganisha na 'baba yao') n.k
2. ni tabia ya diamond mwenyewe kupendapenda kuwapiga vijembe wenzake (hii kwa mtu mwenye akili huru huweza kufikiri kuwa pamoja na mafanikio yote aliyonayo bado hapendi wenzake waendelee).
ni hayo tu kwa mawazo yangu!
Mpaka elimu? Hakuna binadamu aliyemzidi kila kitu binadamu wenzio hayupo, ndio maana wanyakyusa wanasema no body is perfect,
Sio kweli jamaa ana vijembe km mwanamke alishawahigi kumpiga vijembe hamisa mpaka mzee yusuph akamwambia huo sio uanaume,jamaa akaomba msamahaDiamond hawezagi kumpiga mtu kijembe Kama ujamchokoza
Huyo hamisa alimkosea mondi alipost picha wapo chumbani na mondi ukiachana na hapo alienda kwa mganga ili mondi ampende yeye pekee bahati mbaya video ikavuja.Sio kweli jamaa ana vijembe km mwanamke alishawahigi kumpiga vijembe hamisa mpaka mzee yusuph akamwambia huo sio uanaume,jamaa akaomba msamaha