Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

kwa maoni yangu kuna vitu viwili vinaweza kuwa vimechangia kukufanya uwe na hali hiyo;
1. ni kwamba watu wengi humu jukwaani wanampenda mno diamond hadi kufikia kumzidishia sifa, kulazimisha wengine wawe na mawazo kama yao, kuforce ulinganifu na wanamuziki wengine (katika hili muathirika mkubwa ni alikiba.....kila atakachokifanya atalinganishwa na diamond; kiwe kikubwa kiwe kidogo lazima ilazimishwe kionwe kuwa ni cha kiwango cha chini humu kulinganisha na 'baba yao') n.k
2. ni tabia ya diamond mwenyewe kupendapenda kuwapiga vijembe wenzake (hii kwa mtu mwenye akili huru huweza kufikiri kuwa pamoja na mafanikio yote aliyonayo bado hapendi wenzake waendelee).

ni hayo tu kwa mawazo yangu!
Umemaliza kila kitu, mkuu ningekuwa karibu ningekupooza hata na wekundu watano waliobakia wote wamekomenti utumbo tu,
 
Sio kweli jamaa ana vijembe km mwanamke alishawahigi kumpiga vijembe hamisa mpaka mzee yusuph akamwambia huo sio uanaume,jamaa akaomba msamaha
Huyo hamisa alimkosea mondi alipost picha wapo chumbani na mondi ukiachana na hapo alienda kwa mganga ili mondi ampende yeye pekee bahati mbaya video ikavuja.
 
Back
Top Bottom