katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Mimi nachukia tabia yake.Wakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe vileTeam Domo wanamponda mleta mada wakati na wao ni wale wale.
Wanamchukia Harmonize, Aslay, Mavoko, AliKiba Kwa Kuwa Hawana Shobo Na Domo.
Mashabiki Wa Domo Hawana Akili.
[emoji16] [emoji16] [emoji1]Siku ukiacha bia utamuelewa
Nikifikiria haya nashindwa kuiacha bia
Kila nikitaka kuacha bia nawafikilia Wananchi wenzangu ninaowapenda na ambao wanategemea mnyororo wa bia ili waishi. 1. Wakulima wa uwele na shairi ambayo ni malighafi ya kutengenezea bia. 2. Madereva na familia zao (na michepuko yao njia nzima) makampuni yanayosafirisha bia. 3. Wafanyakazi...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa!!!
[emoji41] [emoji2] [emoji2] [emoji41] Ndiyo huyu huyuWewe ndiye tuliyeambiwa tukupe vyako vilivyo vyako na vya Mungu vilivyo vya Mungu?
Na umefufuka lini?
Wewe upo Kama Mimi kabisa.Hata mimi sipendi nyimbo zake bali napenda ujanja wake jinsi anavyojua kujipromoti kutocheza na opportunity ya pesa na papuchi.
Paka ShumeKama wewe vile
Hata mkiungana(huwezi)
Matusi kumtukana (huwezi)
Hiyo ilikuwa kabla ya mganga kabla hata uhusiano wao haujulikani kiivo inshu ya mganga si ya juzi hiyo ilikuwa kwenye kili music award
ukizeeka utakuwa mchawiWakuu.
Simpendi Diamond ile mbaya. Hajawahi kunikosea, sijawahi kukutana nae, hanisaidii wala simsaidii lakini kila nikisikia jina lake linanikifu mno.
Shetani bhana
Sent using Jamii Forums mobile app