Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

Sijui kwanini simpendi Diamond na miziki yake

Hi
tapatalk_1577697290120.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team Domo wanamponda mleta mada wakati na wao ni wale wale.

Wanamchukia Harmonize, Aslay, Mavoko, AliKiba Kwa Kuwa Hawana Shobo Na Domo.

Mashabiki Wa Domo Hawana Akili.
Kama wewe vile
 
Siku ukiacha bia utamuelewa


Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16] [emoji16] [emoji1]
 
Nyanyua mkono juu jipige kifuani huku ukisema..

Mimi ni mchawi..
 
Back
Top Bottom