Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mungu anakupa inachostahili....mi naona kama nina gundu. sijui kwa nini .. sipendwi na mademu wakali. najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii.... nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali.... mimi najiuliza nakosea wapi? shida nini ? naumia sana kwa kweli. maaana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kalis. mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. ushauri wenu wapenzi.
HiyiEm tupia kwanza picha yako tukuone...
πππ Wacha zako buanaMungu anakupa inachostahili....