Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Amnyimae punda mbaazi?................Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?
Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.