Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
Sheria ili upendwe na madem wakal ni hiz

Kwanza piga pamba za fashion ya sasa tupia balenciaga dior na code zingine za kuvutia machon kwa watu cheza na colour colection weng wanavaa vitu vya gharama lakin hawajui kupendeza hakikisha unachangua rangi nzur na umetisha nguo labda jeans black tishirt njano au white lazima ujue kuba rang zinaendana kama hivyo sasa mtu anajivalia tu sababu ni ya gharama anahis atapendeza no

Pili nukia vizur harufu baba muhimu piga unyunyu wa bei mbaya kama. Scandal 212 vip sultan na nk usijal unyunyu wa lak mbili unaweza kuupata wa kupima kwa elfu tano tu

Tatu mikato ya kichwa mitindo maana mtoto mkal ajifikir yeye tu kua na wewe bal anachojal status yake kwa marafiki itakuaje watasemaje na nk

Nne mdomo maongez ongea kama mtu wa solution kila unachoambiwa we toa hope kubwaaaa tu ikija shida yoyote we solve tu with confidenga nying mtoto apindui utasikia anaanza kukuita dad
 
Nakuonea huruma cos kuna siku UTAKUJA KUWA MTUMWA WA MAPENZI... na utajuta
 
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
Acha kumiiza kichwa sababu ya zinaa ndugu.
 
Back
Top Bottom