Sijui laki moja yangu imeenda wapi?

Ndo wenye msemo huo..[emoji28][emoji28] nimetaja hii mikoa nimekumbuka nyanyantole [emoji28][emoji28]jamani haya majina haya[emoji28][emoji28]
Nyanyantole ndio nini mkuu
 
Ulihesabu ili kuhakikisha kiasi ulichotoa benki ndicho ulichokipata? Si ajabu uliminywa laki Mkuu.
Kiukweli siwezi wasingizia hela Kamili kabisa
 
Reactions: BAK
Usicheze mbali na pochi yako. Kama unaishi na wengine basi kuna mwizi humo ndani next time atachomoa laki unusu kama si laki 2.

Duh imeniuma sana mana nilipanga mwezi huu nimake laki 2
 
Anzisha biashara yenye uhakika wa kukupa hata 10000 kwa siku,

Wengine trh 1 tu mshahara unaisha na maisha yanaendelea bila stress
 
Anzisha biashara yenye uhakika wa kukupa hata 10000 kwa siku,

Wengine trh 1 tu mshahara unaisha na maisha yanaendelea bila stress
Ndicho nachopigania hapa nipate biashara hata yakuingiza elfu 7 per day
 
Usicheze mbali na pochi yako. Kama unaishi na wengine basi kuna mwizi humo ndani next time atachomoa laki unusu kama si laki 2.
Nikweli mkuu umakini muhimu
 
Walioweka ule usemi wa mali bila daftari huisha bila habari walikuwa wanamaanisha situations kama hizi

Hiyo laki ni wewe umeitumia,hukumbuki tu

Kwanini unawithdraw pesa yote?

Kimsingi ili kujua kila cent imetumikaje ni vizuri ukawa unatumia kwa kuandika ama nzuri zaidi ni kupanga budget ambayo itaonesha zile expenditures(muhimu) zinazotarajiwa kutokea ndani ya mwezi mzima
Hii itakusaidia kuweka records na kuwa na plan nzuri

Theoritically,una take home ya 540,000/=
Sijui bei ya vyakula lakini naassume michele 20 kilos labda ni 50,000+unga 10 kilos 20,000 ambavyo nafikiri hamuwezi kumaliza hivi vyote ndani ya mwezi
Bill ya maji mwezi 20,000
Umeme 50,000
Usafiri na other expenses(emergencies) tenga 150K

Hapo utabakiwa na 250,000
 
Mkuu mkoa nilipo chakula bei niyakawaida sana. Mchele mzuri 1500, kwamwezi kwangu nakula kilo 10 mpaka 12, mafuta yakula natumia Lita 5 mwezi mzima, unga kilo 10, Umeme haizidi elfu 10, maji haizidi elfu 5. Najishangaa kwanini nashindwa kuweka akiba hata laki 1 na50
 
Zingatia usemi ya mali bila daftari...ukiandika unachotumia wala hili neno 'unashangaa' halitakuwepo
Andika budget ya mwezi mzima,toa kiasi cha hayo matumizi....pesa iliyobaki iache huko bank

Majibu yote ya mishangao yako yatakuwepo katika maandishi
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…