Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Hii kauli mara ya kwanza kuisikia ni Tabora,Shinyanga na MwanzaHivi watu wanaotumia neno "kuhemea".....
wakimaanisha kununua matumizi yao....
huwa n watu wa kabila gani? hawa wahemeaji...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii kauli mara ya kwanza kuisikia ni Tabora,Shinyanga na MwanzaHivi watu wanaotumia neno "kuhemea".....
wakimaanisha kununua matumizi yao....
huwa n watu wa kabila gani? hawa wahemeaji...
Ndo wenye msemo huo..😅😅 nimetaja hii mikoa nimekumbuka nyanyantole 😅😅jamani haya majina haya😅😅Upo Sawa maana namimi nipo anga hizo
Nyanyantole ndio nini mkuuNdo wenye msemo huo..[emoji28][emoji28] nimetaja hii mikoa nimekumbuka nyanyantole [emoji28][emoji28]jamani haya majina haya[emoji28][emoji28]
Kiukweli siwezi wasingizia hela Kamili kabisa
Duh imeniuma sana mana nilipanga mwezi huu nimake laki 2
Ni aina ya nyanyachungu lakini zenyewe ni za kijani kidogo nyembamba halafu ndefu.Nyanyantole ndio nini mkuu
Watu wa kigoma na kanda ya ziwaHivi watu wanaotumia neno "kuhemea".....
wakimaanisha kununua matumizi yao....
huwa n watu wa kabila gani? hawa wahemeaji...
Mkuu mkoa nilipo chakula bei niyakawaida sana. Mchele mzuri 1500, kwamwezi kwangu nakula kilo 10 mpaka 12, mafuta yakula natumia Lita 5 mwezi mzima, unga kilo 10, Umeme haizidi elfu 10, maji haizidi elfu 5. Najishangaa kwanini nashindwa kuweka akiba hata laki 1 na50Walioweka ule usemi wa mali bila daftari huisha bila habari walikuwa wanamaanisha situations kama hizi
Hiyo laki ni wewe umeitumia,hukumbuki tu
Kwanini unawithdraw pesa yote?
Kimsingi ili kujua kila cent imetumikaje ni vizuri ukawa unatumia kwa kuandika ama nzuri zaidi ni kupanga budget ambayo itaonesha zile expenditures(muhimu) zinazotarajiwa kutokea ndani ya mwezi mzima
Hii itakusaidia kuweka records na kuwa na plan nzuri
Theoritically,una take home ya 540,000/=
Sijui bei ya vyakula lakini naassume michele 20 kilos labda ni 50,000+unga 10 kilos 20,000 ambavyo nafikiri hamuwezi kumaliza hivi vyote ndani ya mwezi
Bill ya maji mwezi 20,000
Umeme 50,000
Usafiri na other expenses(emergencies) tenga 150K
Hapo utabakiwa na 250,000
Mkuu mkoa nilipo chakula bei niyakawaida sana. Mchele mzuri 1500, kwamwezi kwangu nakula kilo 10 mpaka 12, mafuta yakula natumia Lita 5 mwezi mzima, unga kilo 10, Umeme haizidi elfu 10, maji haizidi elfu 5. Najishangaa kwanini nashindwa kuweka akiba hata laki 1 na50
Sawa mkuuZingatia usemi ya mali bila daftari...ukiandika unachotumia wala hili neno 'unashangaa' halitakuwepo
Andika budget ya mwezi mzima,toa kiasi cha hayo matumizi....pesa iliyobaki iache huko bank
Majibu yote ya mishangao yako yatakuwepo katika maandishi