Pre GE2025 Sijui ni Kilimanjaro ipi Mbowe anadhani atapata Wabunge, nimepita Hai, Moshi, Mwanga na Same kote CCM ni Imara na Inapendwa mno!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana

Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM

Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii

CCM oyee 😄😄😄
 
ipo Imara kwa kujaza Bendera kwenye milingoti ya umeme? Ujinga ujinga tu
 
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana

Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM

Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii

CCM oyee 😄😄😄
Huyu mzee Mbowe juzi kawadanganya waarusha kuwa walionewa na utawala wa magufuli ,unajiuliza huyu mzee hajui kuwa magufuli nae ana kabila lake ?tunasubiro kampeni zianze rasmi ndio atajua madhara ya kuropoka.
 
Tutaamini Tume ikiwa huru! Harafu vyombo vya ulinzi na usalama vikikaa kando na kuachia wananchi waseme wenyewe kwenye sanduku la kura.
Mzee Mbowe atakuwa rais?juzi nimecheka sana eti binamu yake mzee Mbowe anasema wanachi walinde kura ,hivi wale watoto wake wanaotunzwa watakuwa kwenye ulindaji kura?
 
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana

Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM

Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii

CCM oyee 😄😄😄
Wewe umepita mimi naishi, macho yamekudanganya.
 
Huyu mzee Mbowe juzi kawadanganya waarusha kuwa walionewa na utawala wa magufuli ,unajiuliza huyu mzee hajui kuwa magufuli nae ana kabila lake ?tunasubiro kampeni zianze rasmi ndio atajua madhara ya kuropoka.
Mmeanza propaganda za ukabila, mko laini sana vichwani.
 
2015 na mbaya zaidi 2020 CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.

Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru ma haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro
Labda Kilimanjaro ya Juu ya Mima 😂😂😂
 
Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana

Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM

Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii

CCM oyee 😄😄😄
Kwahiyo ulimopita watu waliokuona walikuwa wanakupigia makelele kuwa CCM itashinda! Unatumia kilaji gani nikuagizie.
 
Back
Top Bottom