johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ipo Imara kwa kujaza Bendera kwenye milingoti ya umeme? Ujinga ujinga tuKiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM
Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii
CCM oyee πππ
Huyu mzee Mbowe juzi kawadanganya waarusha kuwa walionewa na utawala wa magufuli ,unajiuliza huyu mzee hajui kuwa magufuli nae ana kabila lake ?tunasubiro kampeni zianze rasmi ndio atajua madhara ya kuropoka.Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM
Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii
CCM oyee πππ
Mzee Mbowe atakuwa rais?juzi nimecheka sana eti binamu yake mzee Mbowe anasema wanachi walinde kura ,hivi wale watoto wake wanaotunzwa watakuwa kwenye ulindaji kura?Tutaamini Tume ikiwa huru! Harafu vyombo vya ulinzi na usalama vikikaa kando na kuachia wananchi waseme wenyewe kwenye sanduku la kura.
Wewe umepita mimi naishi, macho yamekudanganya.Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM
Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii
CCM oyee πππ
Huyo UWT usimwamini, posho zikitoka huwa anaiponda CDM na posho zikikata anakuwa mtetezi wa wananchiWewe umepita mimi naishi, macho yamekudanganya.
Hapo CCM hawakubali mzee maana ndiyo kifo chaoTutaamini Tume ikiwa huru! Harafu vyombo vya ulinzi na usalama vikikaa kando na kuachia wananchi waseme wenyewe kwenye sanduku la kura.
Mmeanza propaganda za ukabila, mko laini sana vichwani.Huyu mzee Mbowe juzi kawadanganya waarusha kuwa walionewa na utawala wa magufuli ,unajiuliza huyu mzee hajui kuwa magufuli nae ana kabila lake ?tunasubiro kampeni zianze rasmi ndio atajua madhara ya kuropoka.
Labda Kilimanjaro ya Juu ya Mima πππ2015 na mbaya zaidi 2020 CCM ya Jiwe ilinajisi uchaguzi waziwazi. Taifa halijakuwa na uchaguzi toka Kikwete alivyostaafu.
Mh. Mbowe yupo sahihi uchaguzi huru ma haki CCM haipati hata jimbo moja Kilimanjaro
Kwahiyo ulimopita watu waliokuona walikuwa wanakupigia makelele kuwa CCM itashinda! Unatumia kilaji gani nikuagizie.Kiukweli mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe asiwadanganye wanachama wake, Kilimanjaro na Arusha CCM ni Imara sana
Jimbo pekee lenye changamoto ni Karatu Arusha lakini Majimbo yote ya Kilimanjaro ni CCM
Nipo hapa Lembeni kwa rafiki yangu Chediel tukibadilishana mikakati na Wanaccm maana wananiambia Lema na Mbowe juzikati walikuwa mitaa hii
CCM oyee πππ
Nimetembelea Ofisi za CCM na vijiwe vya Chadema na kupata taarifa za jumlaKwahiyo ulimopita watu waliokuona walikuwa wanakupigia makelele kuwa CCM itashinda! Unatumia kilaji gani nikuagizie.