GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.