GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
ukitaka wakuvutie msogelee b dada akiwa kwenye mkunano au jukwaani au nenda pale chamuino umsubili tu hili umogelee hili uone mabodigadi wake wanavio vitiaTafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.
Amini anachosema mleta mada. Hawavutii,ukitaka wakuvutie msogelee b dada akiwa kwenye mkunano au jukwaani au nenda pale chamuino umsubili tu hili umogelee hili uone mabodigadi wake wanavio vitia
Kweli kuna watu mna uhasidi wa nyoka! Mna chuki iliiyopitiliza.Tafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.
Nakazia mkuu inakuwaje mwanaume anasema anavutiwa na wanaume wenzake. Hivi Mtoa mzima kweli huyu?Ulikuwa unavutiwa na wale wanaume
NakaziaUlikuwa unavutiwa na wale wanaume ila hawa wanawake hawakuvutii
Mwenye akili ameshajua una tatizo gani. Mi nakupa pole
Pengine hujawazoea akina Mama.Tafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.
Unapiga miguu yoe, mpira, siasa, nkTafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.
Wewe uliwahi kuwa mzima lini labda?Nakazia mkuu inakuwaje mwanaume anasema anavutiwa na wanaume wenzake. Hivi Mtoa mzima kweli huyu?
That's why I'm Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer Chief.Unapiga miguu yoe, mpira, siasa, nk
Ukikurupuka kuzisoma na kutuliza Aklli Kuzielewa kwa haraka utadhani aliyeandika / aliyeanzisha ni Hamnazo ( Kadata ) fulani hivi wakati kumbe kuna Ujumbe mkubwa mno na Fumbo fulani ndani na Uzi husika.nyuzi nyingie hizi duh
Watu wenyewe wamekurupushwa hata walikuwa hawana imani kuwa watakuwa hapo walikuwa wanapiga umbea tu pale stand kwa mbele kama unaenda CameronTafadhali mwenye Picha mbalimbali za Mabodigadi wa Baba aliyetuacha mazima ( hasa yule Macho Kufinyafinya ) na Yule mvaa Miwani Myeusi anayekuwa mbali nyuma yao aniwekee hapa kwani zimenipotea katika Phone Gallery yangu.
Nilipenda mno Utizamaji wao, Usimamaji wao, Umakini wao, Tembea yao, Wasiliana yao, Kupendeza Kwao, Muonekano wao, Ufichaji wao wa Silaha Viunoni na Kimbia yao huku Gari zao Milango ikiwa wazi ( imefunguliwa )
Wa sasa wala hawanivutii sana.
Wewe Jamaa nikisoma tu 'Comments' zako katika Uzi wangu wowote ule lazima nitavunjika Mbavu zangu kwa Kucheka.Watu wenyewe wamekurupushwa hata walikuwa hawana imani kuwa watakuwa hapo walikuwa wanapiga umbea tu pale stand kwa mbele kama unaenda Cameron
Hata siwaogopi kabisaa mkuu, lipo jingine hapa Ibinzamata linazubazubaa tu hapa shinyanga linajifanya hatulijui kumbe nalichora tuππππWewe Jamaa nikisoma tu 'Comments' zako katika Uzi wangu wowote ule lazima nitavunjika Mbavu zangu kwa Kucheka.
Huwaogopi Mkuu kwani wapo pia JF.