Sijui ni kwanini Mabodigadi wa Mama hawanivutii Kuwaangalia kama wale wa Baba aliyetuacha mazima

Hata siwaogopi kabisaa mkuu, lipo jingine hapa Ibinzamata linazubazubaa tu hapa shinyanga linajifanya hatulijui kumbe nalichora tu😁😁😁😁
Nasikia wengi wametawanyishwa Mikoani na Wilayani Mkuu je, kuna Ukweli wowote ule juu ya hili?
 
Ukweli upo sana tu sijui ni mpango gani huu ila basi tu........
Kuna Mmoja nasikia sasa hivi kaanza Ulevi na Mpenda 'Mbunye' wakati hata alipokuwa na Baba hakuwa na Tabia hiyo. Ni kweli Mkuu?
 
Kuna Mmoja nasikia sasa hivi kaanza Ulevi na Mpenda Mbunye wakati hata alipokuwa na Baba hakuwa na Tabia hiyo. Ni kweli Mkuu?
Aaaah tulia kwanza kuna toto la kisukuma mbele yangu nalinyatia linafanana na mrembo mmoja humu jf daah 😒😒😒😒
 
Nakazia mkuu inakuwaje mwanaume anasema anavutiwa na wanaume wenzake. Hivi Mtoa mzima kweli huyu?

Mwanaume kusema anavutiwa na mwanaume mwenzake inatia shaka. Au mwenzetu ameshasajiliwa kwenye chama cha upinde wa mvua?![emoji304]
 
Magu alijua kutikisa nchi kisawa sawa alipo tupo kutwa kupata burudani kwa hotuba zake murua
 
Mpaka siri kamili ifichuke, wataalam watafichua kilichofichama.
 

Labda sababu ya kula boflo na urojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…