We ZeMangi unafanya nn jukwaa hili saa hizi? Msikilize CelineDion- oh, sorry, Kambani- anatoa uharo wake Huko Bungeni. She bores me stiff! Kama huyo jamaa aliyewatenganisha dogs waliokuwa waki_do kwa rungu! Wivu au nn? Au alikuwa anamtaka huyo she-dog?kweli kabsa shine
teh teh teh...kwa kweli hata mm sijuiWe ZeMangi unafanya nn jukwaa hili saa hizi? Msikilize CelineDion- oh, sorry, Kambani- anatoa uharo wake Huko Bungeni. She bores me stiff! Kama huyo jamaa aliyewatenganisha dogs waliokuwa waki_do kwa rungu! Wivu au nn? Au alikuwa anamtaka huyo she-dog?
Mbwa na Paka walikuwa wanapiga stori
Mbwa>kwa nn nyie huwa mnajificha mkiwa mna "do"na dem wako?
Paka>aagh...!huwa kila tuki'do' hawa binadamu wanatuiga style zetu,ndo maana tunajifichaga.
Mbwa>mh.!mbona mm nafanya hadharan na hawaigi style zangu?
Paka>ww jidanganye,hujui kama walishaiga ile ya kwako 1 kasoro tu ile ya kuangalia kila m1 upande wake yaani m1 jua linakochomoza,mwingine linakotua,huku mkiwa mmesimama