Sijui ni uchawi huu?

M/Mungu ameeleza kuwepo kwa nguvu za giza(shetani) fanya jitiada za dua, vinginevyo tumia miti aliyoumba Allah kujisaidia.
 
Kapime Kisukari na HIV....Sukari inachosha Sana mwili na HIV kwenye dalili za mwanzoni inanyong'onyeza mwili...Ila usipime hivyo nenda upate ushauri nasaha kwanza
 
...Tatizo umeishakuwa na Imani ya Kurogwa! Itakusumbua Sana....
 
Haunted house!
Usipuuze,soma zaburi ya 148 Mara 7,asubuhi na jioni,Kwa Siku tatu,wakati wa kulala paka Mafuta ya mizaituni kwenye nyayo zako,ulete mrejesho hapa.
 
Kwani hiyo nyumba unakaa bure mzee embu hama hapo kapange sehem nyingine!!

Au kma vp kila 9t uwe unavuta msuba then unalala
 
Pole sana.
Nakushauri uwe mtu wa kuomba Toba juu yako kwa yote uliyoyatenda ili upate kusamehe na kusamehewa.
Kwa msamaha soma Zaburi 25,51 na 73.
Kwa ulinzi na uponyaji soma Zaburi 7,13,16,17,18,23,27,35 pia 140 yaani jitahidi kusoma Zaburi.
Jitahidi kujipa muda wa maombi utapata uponyaji
 
Ng'ong'ona hiyo nimeishi hapo miaka 4 unatakiwa uweke bange kwenye mto unaolalia
 
Acha Kuvuta Bange Mkuu
Eventually uta data
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…