Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 7,656
- 3,785
Hao watu unaoambiwa wanamiliki sijui 51% ni stori tu za kulisha raia, ndiyo maana hata mwekezaji anawekeza kimachale tu.
Ule upande mwingine DSM si mnamjua ni nani? na kwa kuwa kule rangi ni zao kule wanajiachia zaidi.
Ila jua tu huwezi kuzimiliki hizi team, mifumo imewekwa hivyo.
Kwa hiyo msilalamike mkiona zinatumika na Claotus Chota, siwalaumu viongozi, siwalaumu mtu yoyote paleni mipango tu.
Huwezi kumiliki Jangwa na Mnyama hata uwe na pesa kama Elon Musk, zile zina kazi maalumu, tuache kupeleka lawama sehemu nyingine adui yetu tunamjua.
Hongereni kwa michango mbogamboga
No reforms No Election