yaliyomo yamo
Member
- Apr 26, 2012
- 39
- 6
Hana lolote watu wanatomba tu huyo.
Sahizo ndo ngoma imepigwa anakupumbaza na maneno matamu SHTUKA!
Why would she even try? Na isitoshe bado anataka zawadi kwa kujaribu na kushindwa?
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
mmmmmmh ! Punguza ukali wa maneno bana, au viroba vinaongeaa?Hana lolote watu wanatomba tu huyo.
...............tena mwambie kitu kimefika kimiani, mara kikakataa !Nawe jaribu kumwambia vile vile kuwa: umejaribu mara kadhaa ku cheat, lakini moyo umekataa kwa ajili yake. Then angalia atakavyo react. Jibu utakalopewa na huyo demu wako, leta hapa jukwaani.
Nimeipenda hii, ila ndugu Billie jifunze kupenda kupo na kuchukiwa kupo, kukubaliwa kupo na kukataliwa kupo, kumega kupo na kumegewa kupo ! Hapa ni kijitayarisha tuu na hayo majanga kisaikolojia. Zidisha 'control mechanics.'mmmh, ngumu sana.
Ukirushiwa mishale 20, uwezekano wa baadhi kukupata ni kubwa.
Watch out!
Habari yako dada, i think kati ya wasichana wenye wapenzi waaminifu wewe ni mmoja wapo. Kama huyo mchumba wako kaamua kukwambia wazi kiasi hicho, ina maana na yeye ilikuwa inamuumiza sana akitafakari hayo majaribio aliyokuwa akitaka kuyafanya. So u re luck to have a man of that kind. Amini anakupenda kweli na sana. JIAMINI
Habari zenu wapendwa mwenzenu siku kama nne zilizopita nilipokea sms kutoka kwa mpenzi wangu ikisema "Yaani mpenzi ujue una nguvu sana moyoni mwangu hivi umeniwekea nini?" kwa shauku ya kutaka kujua nika Reply "Kwa nin unauliza hivyo" mpenzi wangu akakaa kimya kidogo na kunijibu "Ujue kila nikitaka kukusaliti najikuta automaticaly nashindwa I REal love you"Sikujibu kitu tena nikabaki natafakali usemi wake huo sasa naona unazidi kujipa nafasi kubwa kichwani mwangu mara nijipongeze mara niuzarau mara niogope kuwa kumbe huwa anafanyaga majaribio kama hayo.Jaman naombeni mnisaidie kuitafakari na kudadavua ujumbe huu tafadharini naombeni mtumie busara kunisaidia maana naona kama ka Sms kananichafulia radha kwenye mapenzi yangu.
maadili ni somo gumu sanammmmmmh ! Punguza ukali wa maneno bana, au viroba vinaongeaa?
You are finished!
Ila kama wewe ndo kakupanga wa ndoa, mtaoana tu.
Kumbuka, sharing is caring.
oops! Ningejua umri wako ningeweza ku-comment zaidi juu ya hiki ulichokisema. Lakini kwa kifupi, ku-cheat sio suala la kuwa mwanamke (mama, shangazi, dada kama ulivyosema), kila mtu anaweza kudanganya katika mapenzi. Hata wanaume wanadanganya sana. Tena nawezakusema wanaume ndio zaidi kuliko wanawake. Hapo umepotosha mada, wakiiiona wenyewe watakushambulia mpaka ukimbie jamvi.Toa ushauri wako bila kupotosha mada ndani ya mada.kaka huyo ni girlfriend wenu na sio wako peke yako ila usijali kaka kumegewa ni jambo la kawaida japokuwa wewe ameanza kuku-alert wengine huwa unamegewa bila ya kujua.
Hao ndio Mama zetu, shangazi zetu, dada zetu n.k na hizo ndio tabia zao inabidi uzizoee na uvumilie ukiona yamezidi tupa kulee!!