Sijui nijiunge na team gani, maana nawapenda wote..

Sijui nijiunge na team gani, maana nawapenda wote..

Diamond nampenda, Ali K nampenda.

Nashindwa jiunga hzi team jamani.

Mi wote nawakubali sina team,so Kama unawakubali wote huna haja ya kuwa na team,angalia tu mziki mzuri sikiliza na enjoy
 
Wewe Kuwa tu team good music basiiiiii. Unaenjoy kazi nzuri za kila msanii
 
Si unawapenda yote wawili.basi changia maendeleo ya kazi zao....
 
Hivi hizi team huwa zinacheza ligi daraja la ngapi?
 
wote ni wasanii so ubaguz in our country we don't want!!! changia muzk kwa maendeleo ya Artist we2!!
 
Hizo team mavi mavi ni wachawi tu

Unamchukiaje mtu ambaye hakujui?

Kama hajawahi kuwa na akili za kushikwa basi huwezi kuwa na team na kuchukia wengine
 
Unapenda usafi? unapenda kuwa smart? unapenda mziki mzuri? hupendi stress? haya chap chap hamia team Mond!
 
Tumekusoma kuwa wewe hauna team,ila habari zao humu hazikauki lakini likirushwa kombola likaelekea kwenye mahaba yako yalipo yatakufichua tu
 
Back
Top Bottom