ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
Jinsia gan kwanza mana mim mme mwenzangu sijui naenda kuchat nae nin inboxMimi
Bora angekuwa halima mdeeMchokonoe zito kabwe
HahahaWee dada unaesoma hii
Naomba pm yako please
Yu wap?Mange
Nisaidie kumuitaHumu humu JF
Anatumia ID ya jina la kinyamwezi
Sizonjeaisee duh pm ya mwisho ilikuwa september mwaka jana. sijui sasa nikamchokonoe nani huko pm? hivi wenye uzoefu nani huwa anakuwa shapshap kujibu pm? fanya kumtag nimchokonoe chokonoe huko pm.
MangeKimambiNisaidie kumuita
Nisaidie kumuita
nisaidie kumuita na sizonje mana huyu mange inaonye last activity ni tar 20 dec 2016
sawa ila huyo mange mara ya mwisho kuingia humu ni tar 20 dec 2016 tafadhali niitieni mwengineHahahahaaa angalia post no # 13 Bujibuji amekusaidia.
Have fun.
sawa ila huyo mange mara ya mwisho kuingia humu ni tar 20 dec 2016 tafadhali niitieni mwengine