Ndugu wana JF mimi ni msichana nimemaliza form four mwaka 2005 nikafel vibaya sana nimekaaa kwa mda mrefu nyumbani mwaka jana kuna mtu akanishauri ninunue cheti cha form four kutoka wizarani kwa sh laki 5, nikafanya hivyo nikapata cheti chenye three ya 25 ila ambacho hakina credit nikaomba chuo cha CO yaani clinical officer hapa machame moshi sasa mwezi wa kwanza wakachukua vyeti kwa ajil ya kuvikagua kama ni orginal, vimerudishwa juzi na sijafukuzwa sasa sjui hawajagundua au watakuja kunifukuza baadae mpaka sasa sielewi