Sijui nimsaidiaje huyu dada

Sijui nimsaidiaje huyu dada

Mimi nakushauri uwekeze akili zako kwenye shule. Haya mambo ya wanawake utayakuta mbele ya safari kwa sasa yatakuchanganya bure tu.
 
Ulisababisha mwenzio AKAZUNGUSHA!Usipokuwa makini hata chombo cha chuo KITADISCO!
 
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm

hivi mwanamke anaanzaje kukudharau na kukutukana? Kamwe siwezi ruhusu huo ujinga
 
Mbona majibu yote unayo? unasema alikuwa anakudharau, anakusema, anakutusi ila ukawa unvaumilia ili upate tunda, japo la masimango! Leo hii una mtu wa chuo, kwa maana nyingine yule ulisha mmwaga kwa vituko vyake, sasa unaomba ushauri gani tena? Unataka kurudia matapishi?

Mrudie uone, Akirisiti na kupata divisheni two, utaona cha moto, kama utamuona tena!
 
huyo hafai-inamaana kama mambo yangemwendea vizuri mbeleni huko mazarau yangezidi sana-ambayo yangeweza kuleta matatizo mengine
mwache ajifunze nidhamu
 
Hapo ushauri ni kuwa kama unampenda rudiana nae.
 
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm

Jisaidie mwenyewe kwanza. Kwa mtazamo wangu, wewe unahitaji msaada mkubwa kuliko huyu mdada.
 
mwambie are-seat,akifaulu mtarudiana.............maana inaonekana matokeo ni moja wapo ya vigezo vyako
 
Kaa chini na angalia yupi kati ya hao ni chaguo la moyo wako/ ana sifa unazozitaka awe nazo demu wako? Majibu yote unayo mwenyewe hivyo waweza kusuka au kunyoa!
 
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm

Dah..naona jf siku hizi imeingiliwa na watoto wengi sana, sasa sijui watu wenye heshima zetu tukimbilie wapi....???
 
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm

1. mchumba wako kukudharau haikuathiri wewe kwenda chuo
2. aidha kupata kwake "0" hakukuchangiwa na dharau zake kwako
3. pia yeye kurudiana na wewe wakati akiwa ana "0" haita kuambukiza wewe"0" ukiwa chuo
4. aidha dharau na kukunyima tunda havina uhusiano na "0"

lakini kama bado unaogopa "0" mshauri arudie mtihani wa kidato cha sita, yaaani wanaita re-seat

nadhani hapo nimekupa mwanga kidogo
 
Ndugu zangu naomba usauri wenu ,,, nini ni mwanafunzi wa chuo.nilikuwa na nchumba wangu wa kidato cha 6,,alikuwa akinidharau sana,matusi sana,na alikuwa hakiniwekea masharti wakati wa kula tunda,,sasa amemaliza kidato cha 6 na amepata 0 aninilazimisha turudiane wakati ni na chombo cha chuo nafanyeje wana jm
wewe ni fa.la
 
Back
Top Bottom