Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

Sijui nimtulizeje Maana nahofia naweza kuja kufa kwa sonona, Mliofanikiwa katika hili nipeni siri mlifanyaje?

Ulishamruhusu, nimempiga chura teke tu...
Kama umesoma Riwaya ya (Mabaduni wa Serikali) humo utaona Jina la Shatoto Complex hapo ndipo utaelewa kwanini nilitumia lile jina kulipamba Jengo kubwa na zuri namna ile.
 
Nimewahi kusikia
( pesa ni MC mzuri sana inajua kumtambulisha mtu)
 
Usiache kusaka pesa hata kama unahisi hazikupendi🌝🥂
 
Back
Top Bottom