Wanawake mna shida kweli yaani ndio alivyokudanganya kuwa anaweza kuucheza yeye tu..??Lakini kabla sijaamua kuanza kukutongoza nataka kujua tulikutana wapi alkini..~?Au wewe ni yule wa Ilula nilipokwenda kukusanya nyanya ukaning`ang` ania turudi wote Dar
Dawa yako ni kukunyofoa na kumpa mbwa ale!
Mtakatifu Pusi mweusi !
In this world their's so many diseases we have to know about !!
Asymptomatic or Symptomless disease are those diseases which damage our human body slowly or rapidly without a certain victim patient knowledge !
These disease cause serious damage or hata kifo without showin any visible signs of pains.
Agony and discomfort until it's too late !
Prevention , routine check ups in case of your family history and you get proper examination from physiacian.
Only ways to avoid your disease you are required to treat it in early stages !
Umenipata mtakatifu ?
Wahi hospitali .
Nimekumpata vilivyo mkuu hukumu lakini si unajua mimi nilikimbia umande,hivyo kiinglish iz noti richabo...
Kiingreza cha kizungu wala usikisingizie kua noti richabo , kina kurichi sana! Ispokua kinachojiri hadi useme hivyo it's part of you're disease!
Mi naimani wakikuwahi wewe unapona! Kwakua bado unatembea umevaa suruali . Tatizo wakikuchelewesha ukianza tu kusaula !
Ntoleee!
Tatizo lako nshalijua unapenda vya kuonyonga vya kuchinja huwezi
umeona eeh, hta me nlikuwa na wazo kama lako!
St. Paka Mweusi na mwenzio Ruhazwe JR mna hamu ya kuliwa 0713. iyo ndo adhabu ntakayompa yeyote ambaye ntafuma hata meseji kwenye simu ya charminglady
Hahahahahahhaa, wapi Madame B asome hii bila kumshirikisha ruttashobolwa...
Madame B nini kinaendelea hapa? naona mnatongozana tu humu ndani! fyatanga kwema?? mume wangu mmenionea wapi??
Haya nimekuja.
Nimepewa talaka.