St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
- Thread starter
-
- #41
St. Paka Mweusi na mwenzio Ruhazwe JR mna hamu ya kuliwa 0713. iyo ndo adhabu ntakayompa yeyote ambaye ntafuma hata meseji kwenye simu ya charminglady
Acha tu shostisto cacico,
unajua huyu St. Paka Mweusi anataka arudi kwa nguvu alipotoka,
sasa ndio nampa kubwa hapa.
Unafikiri ana ubavu?
Aisee mumeo Asprin nimemuona kapita na jimama wameelekea Family Bar kula Vyuku na Biere.
Fyatanga kama kawa,
mbuzi choma na chipsi rosti,
utan'taka?
hahaha my dia haiwezekani apende wake za watu tu
He mbona ghafla hivyo mi nilitaka unisumbuesumbue kidogo.......
Wacha nihamie kwa charminglady
Nakudanganya.
Nilikuwa nakupima.
Kumbe unaogopa hvo?
Loo!!
Kweli ukubwa wa pua, Si wingi wa Makamasi.
Ukipotelea huko Mbugani?
Si unajua Twiga wanauzwa?
Utani mbaya huo kwenye mambo siliasi kama haya...
Nikajua mwanasheria kabwaga manyanga,ok basi tuanze upya
PM yangu mbona hujaijibu toka juzi..??
Hapa kuna gani? Mwalimu wangu Madame B tafadhali hebu nijuze
hujipendi wewe,tongoza The secretary uone kama sijakugeuza uso ukaangalia kisogoni.Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
Watamu lakini.................
Kawaida nikiona mwanamke yuko singo wala hanishughulishi.Lakini nikiona au kusikia tu kuwa ana mtu wake basi mimi mapenzi hunishika kupita maelezo ,yaani hapa hata sijielewielwi sijui nimtongoze yupi ..??Najua kabisa Madame B yuko na mwanasheria ruttashobolwa beibe nasty yuko na Judgement,wake zake Asprin nao nawatamani na sijui nimtongoze yupi charminglady wala sikuwa na habari naye kipindi anamkataa hommie wangu wakati ndio sasa lakini toka atangaze uchumba na C6 basi roho inanienda mbio juu yake Arabela wala nilikuwa simfikirii,lakini toka nigundue kuwa yuko na zubedayo_mchuzi basi mimi hoi..ni nini hiki jamani wandugu..??
wapenda wake za watu watakufanya vibaya shauri yako kumbuka mke wa mtu ni sumu usijaribu chombeza yatakuja yakukute usiyoyategemea
Nikiwa tanga niliona waganga wa kule wame advance,nje ya ofisi zao kuna bei za tiba.
upele wa 700,
Busha la 500,1000,1500.
Tetekuwanga bei 650,
Majipu huwa ni nyongeza...ukija anga zangu uwe unakumbuka menyu hyo.
ushawahì jaribu? Wake za watu sumu