Sijui nina ugonjwa gani..??


una ugonjwa mbaya jiangalie utapendwa na wewe
 
shosti nimekumiss. Shem hajambo? Dah nina majonzi wamgu kapigwa ban

Shost siaminiii!!!
Shemeji yangu kala Ban???
Ilikuwaje jamani!!
Majukwaa mengine hayafai jamani.
Nitam-misije,
Subiri nimwambie Shem wako Amfuate.
 
Shost siaminiii!!!
Shemeji yangu kala Ban???
Ilikuwaje jamani!!
Majukwaa mengine hayafai jamani.
Nitam-misije,
Subiri nimwambie Shem wako Amfuate.

yani niko lonely shosti. Namwambiaga usiende majukwaa mengine amekwenda kwenye jukwaa la siasa kapigwa ban. Yani ukimwambia my shem amfate ntashkuru
 

ndugu yangu hilo ni pepo la ngono omba uelekezwe kwa mganga akakupunge huyo pepo
 
Arabela mada hii imekuvutia nini mbona hutoki humu ama ndio...........
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…