Utapata tabu sana mkuu samahani lakinisijui hata Kipaji Nilichonacho
Mkuu sasa unadhani tufanyeje hii dunia maana na Mimi ni mhanga ukipata jibu nitag mkuuNdo ninayoipata sasa hivi
Bado mkuu najaribu kuthink big lakini wapiNimeona Avatar umeweka THINK BIG, tayari??
Kaka Asante kwa kUchukua Muda wako na kubandika wazo la kitukufu kama hilo, tunafanyeje??Umeishi zaidi ya miaka ishirini... hata ukiifikiria miaka uliyoipoteza wala haitarudi na zaidi utakata tamaa na kupoteza miaka mingi zaidi. Jifikirie kuanzia hapo ulipo kaka maana hiyo tu ndo itakubadilisha na wala sio manung'uniko yako.. Siamini katika kuishi kwako kote hakuna usichokijua au kile unachokiamini..pengind tupo katika umri mmoja na hili ndilo nakuambia, safari tuliyotoka bado sanaaa maana tupo karibu na kufika katikati ya safari..usipoteze nusu nyingineyo
Ndugu yako Pamoja na Vipaji Lukuki na u tunu wake aliokuwa nao katika uso wa sayari hii alidiriki kusema wakati wa kifo chake kuwa anaomba msamaha kwa Mungu na Wanadamu kwani Hajatenda Kadri ya alivyotakiwa KutendaTenda wema kwa jirani yako, pia kua MTU positive utafariki USO ukiwa unang'aa nuru
Naam aliyasema maneno hayo coz alikosa the so-called inner peace. Tengeneza inner peace utafariki ukiwa umetabasamuNdugu yako Pamoja na Vipaji Lukuki na u tunu wake aliokuwa nao katika uso wa sayari hii alidiriki kusema wakati wa kifo chake kuwa anaomba msamaha kwa Mungu na Wanadamu kwani Hajatenda Kadri ya alivyotakiwa Kutenda