Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Yote yanawezekana cha muhimu ni kusema unaweza mini?Mkuu unataka Kunipa Kazi nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote yanawezekana cha muhimu ni kusema unaweza mini?Mkuu unataka Kunipa Kazi nini?
Mapema sana mkuu.wewe tu Mkuu, ni kuniambia tu unakaa Mitaa Gani..
Asante saana Bro.. MUNGU mbeleMkuu umekata tamaa sana sio poa....kwanza ujenge utaratibu wa kuomba Mungu abariki shughuli zako......pia tulia chin tafuta fursa ya msingi ya kufanya kwa kipato kdogo.....sikuhizi kila mtu duka la nguo usitamani mkuu andaa 60 tu ingia bush ununue kuku waliobakiza mwez waanze kutaga mmoja anauzwa 3000 kiijini nunua 20 rudi waache wajitafutie.....mwisho wa siku utatoka bro
Smartphone yako kijana inaweza kuchange life lakosina ninachomiliki.. Totaly Broke
Nilijojifunza katika maishaNalala usingizi hauji, Nimejigeuza Mara kibao kuutafufuta usingizi lakini wapi, mwili unataka lakini akili haitaki..
Mara Nakumbuka Nimeishi kwenye hii Dunia zaidi ya Miaka 20 ila hakuna nililolifanya.. Hata Baiskeli sina.. Elimu sina.. Hakuna hata fununu wala tetesi ya Jina Langu Kukumbukwa au Kuenziwa Mara baada ya Maisha yangu Kufikia kikomo hapa duniani..
Nitafanya nini Jina langu Libaki? Nifanye nini?