Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Mkuu umekata tamaa sana sio poa....kwanza ujenge utaratibu wa kuomba Mungu abariki shughuli zako......pia tulia chin tafuta fursa ya msingi ya kufanya kwa kipato kdogo.....sikuhizi kila mtu duka la nguo usitamani mkuu andaa 60 tu ingia bush ununue kuku waliobakiza mwez waanze kutaga mmoja anauzwa 3000 kiijini nunua 20 rudi waache wajitafutie.....mwisho wa siku utatoka bro
 
au kama unabet uliweza kuweka 1000 ukatengeneza mkeka wa wik 5 kwa ukachukua game za barca 5, PSG ungechukua 5 na liver 5 na Chelsea 5 now ungekuwa na laki 7 hiv
 
Ahahaaaa mkuu wewe tutakufukia tu then tunasepa maana hata kama kusoma hujasoma na huna kipaji sas sisi tutafanyeje sasa
 
Asante saana Bro.. MUNGU mbele
 
Utakumbukwa kuwa mtu mvivu na aliyeshidwa kutumia ubongo wake kufikiria kupambanua namna ya kupambana na harakati za maisha
 
Utakumbukwa kuwa mtu mvivu na aliyeshidwa kutumia ubongo wake kufikiria kupambanua namna ya kupambana na harakati za maisha
Sitaki Kumbukumbu hiyo
 
Nilijojifunza katika maisha
Kwanza kama kijana unatakiwa uwe makini na watu unao changamana nao maana hawa ndio wataelezea taswira yako,kufikiri kwako na mtazamo wako katka maisha. Hivyo tafuta watu makini jichanganye nao
Pili katka kujitoa. jambo hili linatuangusha vijana wengi sana. Pale tunapo weka pesa mbele kuliko utu au kazi hapa na maanisha kwamba ikipatikana chansi au nafasi ya kufanya jambo usiangalie utalipwa nini ila jiulize ikiwa jambo hili lingekua langu je ningelifanya kwa kiwango gani. Je kwa kiwango hichi nachofanya sasa. kumbuka kua wewe ndio unatengeneza utambulisho wako kwao na kuonesha umuhimu wa wewe kua miongoni mwao hii itakusaidia sana maana watajua ukipewa kazi huta haribu kwa sababu za kimaslay
Na la mwisho uhaminifu na kutimiza ahadi. Uhaminifu ni jambo muhimu katka maisha maana ukiuweka mahala popote pale unalipa iwe kwenye mahusiano,kazi hata biashara kuna vitu vingine utakutana navyo ukazani ni bahati kumbe upo katka mtihani. Jitahidi usifeli hapa maana ndipo penye maksi muhimu katka maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…