Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Wewe yapili ndo inakusumbua, worried about how you are gonna be remembered, if we can even call it a problem. This is gonna make you lose sight of what you have right now and what you can do with it.
Daah very truee Boss..
 
Upo sahihi kiongozi wangu!
Tafuta maarifa/ujuzi
Kisha tengeneza jina mwisho kabisa sasa tengeneza pesa. Hapo lazima utoboe tu
Kweli mkuu vijana wengi tunapata msongo wa mawazo kwa kutaka kuvipata vitu vyote kwa wakati mmoja au kwa kipindi kifupi ila ukiingia duniani, ni struggle of the fittest..

Halafu kingine unaanza kujutia maisha ya nyuma au missed chances...do they matter kweli na kama sio ,kwa nini usitengeneze na kutafuta nafasi mpya... Mimi nshajuta na nikaona acha nijute wakati nikitafuta na si wakati nimekaa
 
Asante sana Mkuu.. atleast tumejadili Vitu vya Muhimu saana..
 
Absolutely.... Some of us were born to live a normal life,no advantage for seeking fame.
Yeap na hicho ndo nilichokuwa nasema... you cant be everything lakini fanya kitu kinachokupa fullfillment.. mimi kwa kweli sipendi vitu average lakini kuna watu wanaopenda

Wewe unaona kuacha jina au "legacy" ni pointless lakini kuna mwingine akimsoma mother Theresa au mahatma Ghandi ndo anaihisi ile fullfillment... hivyo tuishi tu kwa uwezo wetu yaani ule maximum kabisaa
 
Bonge la Nukuu.. ikifika hatua uko hivi.. wewe ushatoboa mwana..
Pengine ni inspirational speaker [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].. shukrani mkuu lakini ni maarifa tu tunayoyapata kwa kutoka nje na kuchangamana na watu ambao wanatujenga kwa kiasi flani
 
Pengine ni inspirational speaker [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4].. shukrani mkuu lakini ni maarifa tu tunayoyapata kwa kutoka nje na kuchangamana na watu ambao wanatujenga kwa kiasi flani
sure Mkuu wenye Lugha yao wanasema Deep Conversation with the wise person is Priceless
 
Nice one mkuu.....

Past 've already pass ,future may never come..all we 've got is our present
 
Mkuu lets keep this thread alive..mwaga madini kiasi hapa tupate kushea na kukua wote kimawazo
 
Kaka.. tatizo moja tulilonalo na mimi ambalo nimeamua kuliacha ni kuona zuri tu katika story..
Huyo jamaa wa darasa la saba hajakuambia magumu aliyoyapitia hadi kufika alipofika..
Kumbuka hakuwa na elimu wala mtaji ila wewe una elimu bila mtaji.. mtaji unatafutwa na maarifa ya kujinoa zaidi yanapatikana.. ukiwa the best in what you do inakuwa rahisi kuwa your own boss

This is what im trying to reach na nimeona wengi wamefanya na kufanikiwa...nikiweza ntaendelea, nikishindwa ntajifunza zaidi..so win-win tu hapa
 
Rais Tafuta Binduki nenda pale ikulu fanya yako hakika hautasaulika
 
Absolutely.... Ila usiishi ili kutafuta umaarufu kwa unayoyafanya,acha umaarufu ukutafute wew kwa unayofanya...if u live for fame ,bhc ur heart won't be pleased without having such a fame so u will be ready to do anything even harmful ones to u and ur people maadamu tu umeacha jina duniani...ndio maana siku hz watu wajo tyr kujiunga kwenye secret societies kama illuminati just to seek fame!!!!what will that fame do with u after u die?? We remember Michael Jackson,tupac,and others so what are they benefiting in their graves??? I c no advantage for fame kabisa...we ishi maisha yako,chapa kazi uwezavyo,ukipata umaarufu sawa,usipopata sawa pia
 
Kila mtu ana njia zake maana kuna watu wanatafuta fame kwa target zao na wanapoupata huutumia vyema...

Fame ni impact tu mara nyingi... ukirejea comments za nyuma nimesisitiza kutambua uwezo wa mtu binafsi.. kuforce vitu mara nyingi huwa na magumu mengi sana

Niwaage wakuu ..maana usiku ushakuwa mzito
 
Daah very truee Boss..

In the grand scheme of things, given enough time, no-one will be remembered. All that will be left is a faint whisper of their names in a dusty old history book, hidden in some unvisited section in a library somewhere. Just like how great empires crumble and are eventually forgotten, so do people.

So badala ya kusearch and kuwa worried utakumbukwaje.
Why don't you pursue a memorable life for YOURSELF, and not for anyone else.

Kuna msemo unasema, don't live the same year 75 times and call it a life. So try new things, visit new places, expose yourself to different experiences. Don't do the same things day in day out. We only have but one life. Live it, and live it well.
 
Le akili kubwazzzzzzzz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…