Sijui Nitakumbukwa kwa Lipi Baada ya Maisha Yangu Hapa Duniani.

Safi kabisa, basi kama ilivyo kwa kila mwanadamu ameumbwa na uwezo wake aa kipekee , basi hili uliyo nao ndio uwezo wako jamaaa
Nashindwa Kuelewa hata nina uwezo gani
 
Sana hata hii thread tu imeshafanya tusemezane , tunatakiwa tuinuane ili siku moja hata baada ya miaka fulani tukirudi hapa..tukumbuke maneno tuliyoyaandika..pamoja bro
Nimepata Maconcept Kibao kwenye uzi huu
 
I mean kwanini tunaishi!? Hivi tunavyoishi ndivyo ilivyotakiwa tuishi?
Eyce jibu pia hiki swali
Tunaishi kwa kusudi fulani na ndio maana tumeumbwa tofauti ikimaanisha kuwa tofauti zetu zinapaswa kuwepo ili maisha yakamilike..

Wanaoishi wanavyotakiwa kuishi ni wachache sana.. wengi wetu tunaishi kwa mifumo ilitengenezwa na matarajio ya jamii zetu. Kuna watu ni madaktari kwa sababu tu waliambiwa wana uwezo na ajira ipo nje nje lakini kumbe ni watangazaji wazuri tu wa media maana ndicho kitu kilichopo ndani yao...

Unapokuwa na uwezo mkubwa au kipaji kikubwa katika kitu fulani ..humo ndipo unapopaswa kupaishi na kuishi nje ya hapa ni sawa na kuishi tu ila ni nje ya vile ulivyotakiwa kuishi...

Hivi ingekuwaje mtu kama diamond angeishi katika mifumo yetu ya kusoma, pata ajira, jenga na anzisha familia..tungepoteza mega star.. hii ndio life nayoielewa
 
Guys mkipata muda tafuteni hicho kitabu ni vizuri mno it's about karma, reincarnation, Deaths, Inner peace, Minds,Human life,Dedication etc..
Ni vizuri mno ila sina soft copy take ndio Niko 47 pages
 
Genius. Safi sana mkuu
 
I don't believe that's true, they are there, you just have to look within yourself hard enough and you'll find them.
Its just normal bro.... some people forget even bout who they really are ,only bcoz of some temporally situations they are facing.
Sometimes yaeza kuwa ulijichukulia kiukubwa sana na unapoingia katika real life unaona kama hujafanya kitu maana you want to achieve all things at the same time..unasahau life is a process.. ila naamini atakaa na hatasahau nguvu yake pale atakapoanza kupiga steps ndogo ndogo.. WE HAVE TO START SMALL
 
Watu wengi wanakuwa molded by external stimulus(friends, family, Internet etc). Instead of defining their lives themselves.

Umenikumbusha article moja I always like coming back to, inaitwa Endure.

------------------
Endure

To live is to fight, for this world is but a hurricane of challenges all aimed at you. If it ever becomes too much, if you get down on your life, you will look for encouragement.

And you will not find it.

Everyone puts on the appearance that they want the best for you, that they want you to succeed. But in reality, the thing they least want is you to succeed. They want you to fail!

When you start to change your life, people will notice it. They will not like it. We all get used to placing people in certain 'categories'. You're showing them that there is more to you than they thought. That instead of letting life define you, you are defining life yourself. You're literally fighting for life and this makes them uncomfortable because they didn't (and once they realize it, they know it is too late!).

Endure. All your exes will have one thing in common: they want you to fail. The last thing they want is to run into you later and see you successful. No! They want to see you remain the same or sink lower.

Endure. All the girls that shot you down: they want you to fail. A big fear in woman is missing The Great Catch. Give substance to their fear.

Endure. At your high school reunion, the ones you knew will come back with secret desires of seeing failures everywhere, even at you. Defy them.

Endure. For it is the same for 99% of the people, they get grounded up into comformity and become bewildered as their lives become more and more joyless. They will feel threatened by you. You may even want to stop your metamorphosis by how uncomfortable it is to others you knew and even for yourself. But those who stop can never realize their dreams and so never can be don juans.

The more successful you become in life, the more and more people will despise you. No one despises the innocent Nice Guy who happily takes orders. But everyone envies the one who knows what he wants and takes it, the guy who won't be played, and the guy who manages to unite dream and day.

All your married friends... they want you to fail. They will whisper in your ear that you should do like they did. All your friends... they want you to fail. They will confer to you that you ought to shrug off these 'ideas' of yours. "Live like us!" they will tell you.

Most people remain static all their lives. They do not change and cannot change. They are basically the same now as they were five years from now. But YOU are totally different, for now you have improved and refined yourself while they stayed the same in their vaperous habits.

Imagine they are gathering in a circle around you and your life. They are all taking bets on when you will stop and fail. And when you do, they will let out a sigh of relief and say, "Thank goodness!" People do not want you to succeed, especially people you've known your entire life. They want you to stay the same or fail. Their lives can only succeed by seeing you fail.

For nothing can overtake the power of Endurance!

Talent will not; nothing is more common than unsuccessful men with talent.

Genius will not; unrewarded genius is almost a proverb.

Education will not; the world is full of educated failure.

Endurance alone is power ultimate. So endure.

We are the sum of our endurance. And we will not let others define us any longer.
 
Best one..shukrani kwa kushare mkuu
 
ni kweli, baby steps. If you try to do everything at once utakuwa overwhelmed. It will be like drinking water from a firehose
hapa ndo naonaga umuhimu wa goal setting
 
View attachment 869744Guys mkipata muda tafuteni hicho kitabu ni vizuri mno it's about karma, reincarnation, Deaths, Inner peace, Minds,Human life,Dedication etc..
Ni vizuri mno ila sina soft copy take ndio Niko 47 pages

Nimekipata, nimejaribu kukiupload, ila kutokana na file extension yake hakiwezi kuwa uploaded hapa.
Ila kama mtu anataka ebook. Anaweza akaiclick hii link, it will be downloaded straight. Iko katika epub version, https://howtotyl.com/wp-content/uploads/2016/12/How_to_Transform_Your_Life.epub
 
Mkuu, anza kuzalisha wanawake wengi uwezavyo ila hakikisha unawapima afya kwanza. Watoto wako watakuwa ni kumbukumbu yako na wao kwa chochote watakachoacha, ni kumbukumbu yako. Usikubali kumbukumbu ya baba yako na babu yako kwa upande wako ikomee kwako. Zalisha mkuu, hata rais wetu anasema hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…