Sijui nivae nini na wapi nifanye makeup ya graduation

Anfibix

Senior Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
190
Reaction score
308
Hello people.

Jamani naombeni ushauri wapi nitapata jumpsuit nzuri na makeup nzuri kwa ajili ya graduation yangu itakuwa 7th November. Kwa anayejua makeup artists wazuri please naomba aniambie ni yupi the best pamoja na ushauri wa hairstyle nzuri itakayofaa siku ya graduation.

Mimi nipo Dar so naomba kujua sehemu za Dar [emoji7]
 
Kwa make up nzuri hebu mtafute dada mmoja anaitwa Fazia yuko hapo Ilemela alimpamba mke wangu siku ya harusi ni mtaalamu sana.
 
Mwana Jf nitakuja kuwakilisha katika graduation. Itafanyika wapi niandae zawadi?
 
Hairstyle?

Tuonyeshe muundo wa uso wako na kichwa chako ili tukuambia which hair style fits you the best.

Makeup?
Kuna MUA wengi sana. You can just choose the best you prefer.
 
Dar kuna ilemela mkuu..[emoji848][emoji28]
Kwa make up nzuri hebu mtafute Dada mmoja anaitwa Fazia yuko hapo Ilemela alimpamba mke wangu siku ya harusi ni mtaalamu sana.
 
kibumbu kilinusulika lakini huko chuoni?
 
Hongera kwa kuhitimu. vipi ushaanza kutuma barua za internships??? Au ulishapata koneksheni???
 
Yani jamii forums siku hizi imevamiwa. Kama mtu huna cha kuchangia si ukae kimya. Nimeuliza kitu kingine na mimi naanza kuulizwa, mara umesoma chuo gani, mara form 4 au la saba, sasa yote hayo yanahusika vipi na hairstyle, nguo na makeup. Watanzania sijui tunakwama wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio watanzania Sie, swali kwa swali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…