Sijui nivae nini na wapi nifanye makeup ya graduation

Sijui nivae nini na wapi nifanye makeup ya graduation

we manzi pungasese kweli eti imevamiwa wakati we umejoin tu 2018 apo ushuzi wewe , tunakuuliza umesoma chuo gani ili tujue upo mkoa gani,l cause kabla hujaedit hukutaja mkoa sa husemi hata ni wapi, ukitajiwa mua wa kenya je, pungasese wewe
 
All the best[emoji173]..karibu kitaaa maisha mazuri
 
Kapake makeup kwa Rose kayuga
Jump suit nenda kwa ajaycollection
Btw Hongera
 
Pungasese mama ako mzazi.
we manzi pungasese kweli eti imevamiwa wakati we umejoin tu 2018 apo ushuzi wewe , tunakuuliza umesoma chuo gani ili tujue upo mkoa gani,l cause kabla hujaedit hukutaja mkoa sa husemi hata ni wapi, ukitajiwa mua wa kenya je, pungasese wewe
 
Yani jamii forums siku hizi imevamiwa. Kama mtu huna cha kuchangia si ukae kimya. Nimeuliza kitu kingine na mimi naanza kuulizwa, mara umesoma chuo gani, mara form 4 au la saba, sasa yote hayo yanahusika vipi na hairstyle, nguo na makeup. Watanzania sijui tunakwama wapi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza kabisa pongezi ziende kwa JPM kwa kufanikisha wewe umalize chuo hakika tumepata rais jembe kafanya mambo makubwa, alipoingia tu akaleta kupatwa kwa jua, pia ameenda kuongea na malaika anaehusika na mvua ili mwaka huu tuivishe mpunga vzr mpaka na pale jangwani walime mwaka huu! viva MAGU viva
 
Back
Top Bottom