Sijui simba SC watakuja na kituko gani kingine dhidi ya Horoya FC

Sijui simba SC watakuja na kituko gani kingine dhidi ya Horoya FC

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Hakika huwa nafurahi sana vituko vya simba katika michuano ya kimataifa.

Viongozi na mashabiki wanaamini hakuna football bila ya uchawi kiukweli ushirikina ndiyo kipao mbele Cha timu.

Baadhi ya vituko nilivyovishuhudia, mechi ya simba dhidi Orlando pirate, maninja walichoma uwanja hadharani yaani katikati ya uwanja bila noma yoyote.

Simba dhidi ya rajacasablanca, timu iliingia kinyume nyume uwanjani bila noma wala Nini wakiamini hiyo ni gia ya ushindi kwao.

Pamoja na Imani zao duni zakuamini mpira ni uchawi lakini walichezea kichapo Cha mbwa koko.

NALIA NGWENA nipo nimekaa paleee nasubiri kituko kingine kwenye gemu ya horoya fc

Sijui wataingia na style gani, kiukweli wanachekesha ila ni aibu kubwa sana kwa taifa letu hili lakuamini ushirikina kuliko kusaniri wachezaji wenye uwezo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mdau anasema Horoya wameahidiwa Kila goli 100m Sasa Kwa Mkapa patachimbika!
 
Mbumbumbu fc wamefukia makafara mengi pale Kwa Mkapa kiasi Cha kuharibu uwanja.
Kuna baadhi ya maeneo pale uwanjani wamefukia vitu kiasikwamba nyasi hazitaweza kuwa za kijani tena labda zipakwe rangi.
Ata wamwagilie nyasi zile mwaka mzima hazita ota.
 
Safari hii wanaweza kuingia uwanjani na bundi 🦉aisee!

Na mara nyingi wakifanya vitendo vya kishirikina, huishia tu kufungwa.
 
Mbumbumbu fc wamefukia makafara mengi pale Kwa Mkapa kiasi Cha kuharibu uwanja.
Kuna baadhi ya maeneo pale uwanjani wamefukia vitu kiasikwamba nyasi hazitaweza kuwa za kijani tena labda zipakwe rangi.
Ata wamwagilie nyasi zile mwaka mzima hazita ota.
Wapumbav wale walichoma hadi uwanja wa orlando pirates
 
Mbumbumbu fc wamefukia makafara mengi pale Kwa Mkapa kiasi Cha kuharibu uwanja.
Kuna baadhi ya maeneo pale uwanjani wamefukia vitu kiasikwamba nyasi hazitaweza kuwa za kijani tena labda zipakwe rangi.
Ata wamwagilie nyasi zile mwaka mzima hazita ota.
Hakika wanaharbu uwanja hawa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya mechi kuisha Jumamosi mtoa mada👇
maxresdefault.jpg
 
Back
Top Bottom