NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Hakika huwa nafurahi sana vituko vya simba katika michuano ya kimataifa.
Viongozi na mashabiki wanaamini hakuna football bila ya uchawi kiukweli ushirikina ndiyo kipao mbele Cha timu.
Baadhi ya vituko nilivyovishuhudia, mechi ya simba dhidi Orlando pirate, maninja walichoma uwanja hadharani yaani katikati ya uwanja bila noma yoyote.
Simba dhidi ya rajacasablanca, timu iliingia kinyume nyume uwanjani bila noma wala Nini wakiamini hiyo ni gia ya ushindi kwao.
Pamoja na Imani zao duni zakuamini mpira ni uchawi lakini walichezea kichapo Cha mbwa koko.
NALIA NGWENA nipo nimekaa paleee nasubiri kituko kingine kwenye gemu ya horoya fc
Sijui wataingia na style gani, kiukweli wanachekesha ila ni aibu kubwa sana kwa taifa letu hili lakuamini ushirikina kuliko kusaniri wachezaji wenye uwezo.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app