Sijui simba SC watakuja na kituko gani kingine dhidi ya Horoya FC

Kiukweli ni upuuzi na upumbavu watu wenye akili timamu kukaa na kupanga kufanya mambo ya kishirikina wazi wazi.Kupanga kuchoma moto katikati ya uwanja ni upuuzi mkubwa sana.

Na sio kwa simba tu hata timu zingine mara wanakaa na kupanga wasipite geti rasmi kuingia uwanjani. Yaani klabu kubwa zinafanya mambo yanayofanywa na klabu za mtaani.
 
Huwezi kukuta real Madrid au man u Wanafanya upuuzi Kama huuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kamq vile nyie utopo ni watakatifu....hahHa nyie makafara yenu ndo yapo mtaani kwa sasa yanaendelea
 
Safari hii wanaweza kuingia uwanjani na bundi [emoji1657]aisee!

Na mara nyingi wakifanya vitendo vya kishirikina, huishia tu kufungwa.
Punguza mdomo shougaaa angu, kuwa buzzy na team yako.
Kwan n lazima simba ikuteseee?? Khaaaaah
Poleeeee sanaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani uongo? Au umeshasahau mwaka wa juzi mlipigwa faini ya dola elfu 10 baada ya kuwasha moto uwanjani kabla ya mchezo wenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, halafu mwisho wa siku mkaishia kufungwa!
Mjinga ata kitu sahihi hauwezi kureport kama umeajiriwa boss wako anawakati mgumu na kama umejiajiri unatesa wateja wako, haujui kuchukua maelekezo kiufupi unamacho laini hauoni. Moto uliwashwa kabla ya penalties sio kabla ya mechi kuanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…