NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
- #21
Wanajisahaulisha [emoji16]Kwano uongo? Au umesahau mwaka wa juzi mlipigwa faini ya dola elfu 10 baada ya kuwasha moto uwanjani kabla ya mchezo wenu na Orlando Pirates kule Afrika ya Kusini, halafu mwisho wa siku mkaishia kufungwa!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app