GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi sasa kuna uhaba wa madarasa 100,005 kwenye shule za msingi na sekondari nchini.
Chanzo: Swahili Times
Najua hivi sasa unahangaika sana kutaka 'Kujishindilia' kwa 'Bidashi' ili 'asikung'oe' hapo TAMISEMI ila ulichosahau au usichokijua umepewa hiyo Wizara 'ngumu' kwa 'Makusudi' ili ikushinde na 'Bidashi' ambaye anakuvizia ujae vizuri kwenye 18 zake 'akufyeke' haraka tu.
Hivi Waziri Ummy Mwalimu ulihitaji Akili Kubwa mno kwa Wewe kutotoa Kwanza haya Maoni yako ya 'Kinafiki' na 'hovyo hovyo' kwa kuwa Mvumilivu baada ya kuona hii 'Public Outcry' ya 'Tozo Umiza Komoa' yenu Serikali?
Nina mengi tu ila kwa sasa ngoja nisitishe Kwanza Kuchimba Shimo la Kuhifadhi Pesa ( ambazo kwa sasa sina ) mpaka nisikie Kwanza Matokeo ya Kikao cha leo kinachojumuisha 'Utatu Mtakatifu wa Wanafiki Watupu' na kisipobadili hii 'Tozo Umiza Komoa' yao basi nitaendelea na Zoezi la Kuchimba Shimo kwa urefu zaidi.