Sijui tutaishia wapi na huyu mke wa mtu

Hayo Maisha ya kuzoeana na singo maza sio mazuri Kama kijana unaweza pata mikosi uchi hauna maana kuzidi Maisha yako cheza kwa step sana Kaka . Vyombo vyako osha mwenyewe
 
Mbona mimi hata wakati nilipokua maskini sikuwa na mazoea ya kufuliwa nguo, kuoshewa vyombo wala kusaidiwa kazi zangu za ndani? Inakuwaje wewe ndugu ambaye bado hali yako kiuchumi ni mbaya una-entertain upuuzi? Wewe na hao majirani zako bado mko na hali ngumu sana kiuchumi. Ninakuonya kua achana na mambo ya kijinga. Focus kujijenga kiuchumi. Hayo mambo ya kuazimana flash ya movie ni upumbavu mtupu. Huyo mume wake atakufanyia kitu kibaya sana...
 
dah ila sijui kwanini watu hawaogopi WAKE ZA WATU
Japo ushasikia matukio mbalimbali mabaya yanayowakuta watu wenye tabia kama hizo lakini bado tu mnafikiria WAKE ZA WATU

Hivi kama wewe ukimfumania mkeo analiwa utajisikiaje
usichokiweza wewe kuvumilia basi usimfanyie mwezio,endelea na utakuja kutusimulia siku moja yatakayokutokea.

mimi wake za watu hata mazoea nao huwa sitaki zaidi ya salam.
 
Ushaur wangu muoe uyo mwanamke naona mnaendana sana ninaamini mapenzi yenu yatakuwa motomoto sana naona kama jamaa aliyemuoa hamridhishi ila wewe ndio utakuwa unamfikisha vzur sana embu fanya ivyo
 
Ukikua utaacha.
 
asante mkuu,from ths moment nmesoma comment nmequit kila kitu..
Kufaminiwa ni Jambo dogo ila kuharibu Maisha yako na kusogeza mikosi ni hatari unabidi kujua mpaka unaishi hayo Maisha ur still long way to go ,una safari ndefu ya kwenda uchi is cheap Sana hata ukiwa na 2k unapata so why uone vitu vya Bei Rahisi kwako ni vya gharama kwanini usiwaze kumiliki mkwanja and get wealth usikubali ku mess up ur life , always cheap is expensive.
 
i gat u
 
Mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…