dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikua utaacha.Habari za wakati huu,
Nipo kwenye wakati ambao unanfanya niwe na maswali mengi dhahania,japo uhalisia wa mambo nauona.
Nlipopanga kuna jamaa ameoa mwanamke ambae nlikua nafahamian nae ni mwanamke ambae nlijua ni mke wa mtu kumbe hakua mke wa mtu alikua single, totally single mother hadi alipokuja kuchkuliwa na huyu jamaa ambae tmepanga nae ndo nkagundua kuwa hakua mke wa mtu.
Mwanzoni alianza kunchangamkia mi nkaona ni mtu si mgeni kwangu nkaona fresh japo jamaa nliona anakasrka ila nahs badae aliona jins sina nia mbaya na mke wake aka take easy adi salamu akawa ananpa na story za hapa na pale.
Mimi napenda kucheza mpira wa miguu,mara moja moja nkird nmeumia alkua ni mtu wa kunionea huruma na kunishaur nscheze mpira tena..Alionyesha kujali sana kila nlipokuwa na tatzo.
Kuna muda alinisaidia kuosha vyombo kukata kata mboga za majani mara moja moja hata kuniletea chakula.
Kuna kipindi nliona hii itakua soo maana ukaribu ulizd na mambo meng ya maish yake alkua aknieleza
Vitu vingi alnisimulia kuhusu maisha ake ya mahusiano,tangu mwanaume wa kwanza alivyomtoa bikra had huyu alonaye,kila alponiona alniomb tkakae nje penye upepo tpge story au akniona nipo nje atakuja story znaendlea..
Nilivyoona amezdisha mazoea nkapunguza kabsa ukarbu hadi salamu nkawa simsalimii muda mwngne,no extra words or jokes nalala mbele..
One day,nkiwa nmechill gheto nliskia naitw drshan,nlivyoitika akaniomba vyombo vyangu nivitoe anisaidie kuosha nafkr alviona kwny kbaraza,nlfurah nkavtoa akansaidia nlshkur..
Nliona hii ya knisaidia kuosha vyombo si nzuri nkaamua kuwa nakaza mwenyew,sa ikawa nkitoa vyombo kuosha nae ataleta vyake then ataniambia fata maji nkusaidie na vyako..
nkaona sasa ntakua stoki nje kuosha kwny sink ntaosha ndani hlo nkawa nmefaulu.
Jambo jipya saivi ni movie,mwanzo alianza kuniazma flash ila nkamtahadharisha kuna movie nyngne humo zafaa kuangalia peke ako nlikua na movie ya kiss&kill na love again kwa wapenzi wa movie ni moja ya love story kal sana
I mean "love again"ni movie moja matata sana celine dion yupo mle ndani..
Tuendelee.
Alponiomba nkawa nmempatia kuangalia alpomalz akarejesha,mazoea yameanz tna taratbu mwanzo alkua akiishia mlangon ila saiv anaingia anakaa anaangalia movie,muda mwngne naenda kuzurula namuacha gheto..
Kisa cha leo tangu asubuh sjatoka coz mvua ilikua inanyesha nimechezea cm bdae nkawasha tv nkaanza kucheki cartoon[tom &jerry]hahah napenda sana,bdae huyu hapa mlangoni akasema unaangalia katuni nkamjibu ee,ngja namimi nije niangalie nkamwambia karbu, yey:fulani adi saiv ujaamka ukiwa peke ako bana
Mimi:ndo hivyo sina haraka yyt sema hapa nipo na njaa kupka naskia uvivu vyombo vichafu hapa ntapka uck..
yeye:hata mimi nkiwaga peke angu waga nashnda njaa mara nyngne..haya naenda narudi..
Baada ya kama nusu saa alrud tkaangalia kdg katuni nkaona hapendelei sana,nkaweka ya nigeria hadi mida ya sa12 na nusu hv ikawa imeisha.
Ilipoisha nkaona bdo kakaa tu mi muda huo npo nimejilaza kwa bed,nkaweka ngoma t tkaendlea kuangalia na story za mapenz mapenz zmepamba moto kdog tanesco wakachkua jua lao giza tkakaa kdog,kabd mi niamke sasa ye nae akatoka ndo ktoa vyombo nioshe ili npke nile mara nae ndo akawa ametoa vyake na jiko la mkaa ndo akawasha hapo inaelekea sambili,ikiwa siku zote ye samoja waga mara nyng hkutwa anakula au anamalzia kupk..
ile naanza kuosha,akaniambia unaosha??htak nkusaidie,nkamwambia sawa nsaidie nlshkur make vyombo nlikua nnatumia t siosh,nlimwachia nkaenda kuoga nkarudi kumpgsha story akiwa anaosha vyombo,katka story story mara oh maswala ya namba ya simu,Ooh ungekua na namb yangu ya simu tngekua tnachat,nkamwambia ntakupa,nkamwandkia pale pale akantext..
sasa jambo lililonishtua aliniulza kesho unaenda wap?nkamjibu siendi popote.
Naomba kesho unsndkze klniki nampleka mtoto sjui kufanya fanya nini skuelew,nlikubal sabu niliona nkikataa
Tuendlee,tumalizie..
skukataa sabb nliona nikikataa haitopendeza ikiwa ye kamalza kusugua rundo la vyombo besen zima,hvyo nlikubali..
nlichkua vyombo tkachat chat vitext vya mitego had sa 4 nkamuacha.
iko hivi kinachonipa mimi maswali dhahania ni je niombe tunda?? Au nsbr yeye mpaka achokoze..ikumbukwe ni mwanamke ambae pia nkua namlia timing ila jamaa aliwah zaid kumchkua na kumuweka ndani..AU YOTE Anayofanya ni just a friend or neighborhood..
ILA MI AKINIPA LAZIMA NIPIGE,dalili za kupewa zipo ila zipo taratibu,yani hataki aone kama amejileta,kaul zake kila saa "yaani mimi sijui kuwa na mtu af niwe na mtu tena,sjui baba flan alinpataje,ila nlimzungusha"
mume wake naona katoka ndiyo maana naona uhuru leo umekua mkubwa
mimi huwaga srudii kusoma wala kuedit nlipokosea mfix,huwa nasoma nkiwa tayari nimeshapost,mnivumilie patakapo leta changamoto yoyote ya kisarufi.
🤣Vipande Ving ka series za kikorea
asante mkuu,from ths moment nmesoma comment nmequit kila kitu..Hayo Maisha ya kuzoeana na singo maza sio mazuri Kama kijana unaweza pata mikosi uchi hauna maana kuzidi Maisha yako cheza kwa step sana Kaka . Vyombo vyako osha mwenyewe
Kufaminiwa ni Jambo dogo ila kuharibu Maisha yako na kusogeza mikosi ni hatari unabidi kujua mpaka unaishi hayo Maisha ur still long way to go ,una safari ndefu ya kwenda uchi is cheap Sana hata ukiwa na 2k unapata so why uone vitu vya Bei Rahisi kwako ni vya gharama kwanini usiwaze kumiliki mkwanja and get wealth usikubali ku mess up ur life , always cheap is expensive.asante mkuu,from ths moment nmesoma comment nmequit kila kitu..
i gat uKufaminiwa ni Jambo dogo ila kuharibu Maisha yako na kusogeza mikosi ni hatari unabidi kujua mpaka unaishi hayo Maisha ur still long way to go ,una safari ndefu ya kwenda uchi is cheap Sana hata ukiwa na 2k unapata so why uone vitu vya Bei Rahisi kwako ni vya gharama kwanini usiwaze kumiliki mkwanja and get wealth usikubali ku mess up ur life , always cheap is expensive.
so?Story mbovu Eva,
Nipo kwenye wakati ambao unanfanya niwe na maswali mengi dhahania,japo uhalisia wa mambo nauona.
MrejeshoHabari za wakati huu,
Nipo kwenye wakati ambao unanifanya niwe na maswali mengi dhahania, japo uhalisia wa mambo nauona.
Nilipopanga, kuna jamaa ameoa mwanamke ambaye nilikuwa nafahamiana naye ni mwanamke ambaye nilijua ni mke wa mtu, kumbe hakua mke wa mtu, alikuwa single, totally single mother hadi alipokuja kuchukuliwa na huyu jamaa ambaye tumeanza nae. Nkagundua kuwa hakua mke wa mtu.
Mwanzoni alianza kuchangamkia mimi nikaona ni mtu si mgeni kwangu nikaona fresh, japo jamaa niliona anakasirika ila nahisi baadaye aliona sina nia mbaya na mke wake, akaanza kunipa salamu na story za hapa na pale.
Mimi napenda kucheza mpira wa miguu, mara moja moja nikipata majeraha alikuwa mtu wa kunionea huruma na kunishauri nisicheze mpira tena. Alikuwa akionyesha kujali sana kila nilipokuwa na tatizo.
Kuna wakati alinisaidia kuosha vyombo na kukata kata mboga za majani, mara moja moja hata kuniletea chakula.
Baadaye, niliona kuwa ukaribu wetu ulipungua na salamu zilikuwa ni nadra, hakuna maneno mengi au mzaha tena, nilikuwa napiga simu na yeye anakataa.
Siku moja, nikiwa nimechill ghetto, nilipata simu, akanitaka nivitoe vyombo vyangu na anisaidie kuosha. Alipoona vyombo vimekuwa kwenye baraza, alinifurahisha kwa kuvitoa na kunisaidia. Nikaona kuwa hii haitakuwa nzuri na kuamua kuosha vyombo mwenyewe, alisema ataniletea vyake ili nimsaidie na vyangu. Nilipokuwa ninaosha vyombo, yeye angenisaidia na kuleta maji, hivyo nikaona nitakuwa nje ya sink na ataosha ndani. Hivyo, niliona nimefaulu.
Jambo jipya sasa ni kuhusu movie. Awali alianza kuniambia kuhusu movie za kuazma, lakini nikamwambia kuna movie nyingine zinazofaa kuangaliwa pekee, na nilikuwa na movie ya "Kiss & Kill" na "Love Again." Love Again ni movie inayopendwa sana, na Celine Dion yupo ndani yake.
Akaomba kuangalia Love Again na nikampa, mara nyingi alikuwa akiishia mlangoni, lakini sasa alianza kuingia ndani na kuangalia movie. Mara nyingine ningeenda kuzurura na kumuacha gheto.
Siku hii, sikutoka nje kwa sababu mvua ilikuwa inanyesha, hivyo nikawasha TV na kuanza kuangalia cartoon (Tom & Jerry), ambayo napenda sana. Alipokuja mlangoni na kuniuliza kama ninaangalia katuni, nilimjibu ndio, lakini nilimwambia anaweza kuja ndani aangalie pia. Yeye akakubali, akasema hana haraka, na nikamwambia pia sina haraka na nina njaa. Niliendelea kusema kuwa vyombo viko vichafu na nilitaka kupika, lakini nilisikia uvivu. Alikubaliana na mimi na alisema hata yeye huwa ana njaa mara kwa mara. Aliondoka na kisha akarudi.
Baada ya muda, alirudi ndani na kuanza kuangalia cartoon. Hata hivyo, nikahisi kuwa hangeipenda sana, hivyo niliweka movie ya Nigeria hadi saa 12 na nusu. Alipoondoka, nililala kwa kitanda. Mara aliporudi, alinipata nimejilaza na akaanza kuosha vyombo. Tulianza kuchati na kuzungumzia mambo mengi, pamoja na namba za simu. Nilimwambia nitampa namba yangu ya simu, na akamtumia ujumbe palepale.
Halafu, aliniuliza kama nitaenda kazini kesho. Nilimjibu kwamba sina mipango ya kutoka. Akanomba kuniandikia namba ya daktari kwani alikuwa na mtoto na hakuwa na hakika la kufanya. Niliukubali ombi lake kwa sababu nilihisi kuwa kukataa hakukuwa jambo la busara, hata kama alinilazimisha kusugua vyombo vyake.
Hivyo, kile kinachonipa maswali ni ikiwa niombe tunda au nisubiri mpaka yeye achokoze. Ni muhimu kuzingatia kuwa ni mwanamke na pia kuna mume wake ambaye naonekana kama ameongezeka uhuru wake. Mimi si mzungumzaji wa lugha ya Kiswahili, lakini inaonekana kuna dalili za kupewa, ingawa zinatokea taratibu. Inaonekana hataki kuonyesha kuwa amejitosa, lakini kauli zake zinaonyesha dalili za kumvutia.
Kwa sasa, ninajisikia kuridhika na kusubiri kuona jinsi mambo yatakavyoendelea. Ikiwa utapata changamoto yoyote ya kisarufi au maswali zaidi, tafadhali nisikilize.
Hii statement mara ya mwisho kuisikia ni kutoka kwa mtu wangu mmoja makini sana[emoji482]
Sent using Jamii Forums mobile app