Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unajua Eroo unazingua sana,Asa kinachokushinda kumwelewa huyo Mzinzi mwenzio mtarajiwa nia yake ni nini? Ni kipiHabari za wakati huu,
Nipo kwenye wakati ambao unanfanya niwe na maswali mengi dhahania,japo uhalisia wa mambo nauona.
Nlipopanga kuna jamaa ameoa mwanamke ambae nlikua nafahamian nae ni mwanamke ambae nlijua ni mke wa mtu kumbe hakua mke wa mtu alikua single, totally single mother hadi alipokuja kuchkuliwa na huyu jamaa ambae tmepanga nae ndo nkagundua kuwa hakua mke wa mtu.
Mwanzoni alianza kunchangamkia mi nkaona ni mtu si mgeni kwangu nkaona fresh japo jamaa nliona anakasrka ila nahs badae aliona jins sina nia mbaya na mke wake aka take easy adi salamu akawa ananpa na story za hapa na pale.
Mimi napenda kucheza mpira wa miguu,mara moja moja nkird nmeumia alkua ni mtu wa kunionea huruma na kunishaur nscheze mpira tena..Alionyesha kujali sana kila nlipokuwa na tatzo.
Kuna muda alinisaidia kuosha vyombo kukata kata mboga za majani mara moja moja hata kuniletea chakula.
Kuna kipindi nliona hii itakua soo maana ukaribu ulizd na mambo meng ya maish yake alkua aknieleza
Vitu vingi alnisimulia kuhusu maisha ake ya mahusiano,tangu mwanaume wa kwanza alivyomtoa bikra had huyu alonaye,kila alponiona alniomb tkakae nje penye upepo tpge story au akniona nipo nje atakuja story znaendlea..
Nilivyoona amezdisha mazoea nkapunguza kabsa ukarbu hadi salamu nkawa simsalimii muda mwngne,no extra words or jokes nalala mbele..
One day,nkiwa nmechill gheto nliskia naitw drshan,nlivyoitika akaniomba vyombo vyangu nivitoe anisaidie kuosha nafkr alviona kwny kbaraza,nlfurah nkavtoa akansaidia nlshkur..
Nliona hii ya knisaidia kuosha vyombo si nzuri nkaamua kuwa nakaza mwenyew,sa ikawa nkitoa vyombo kuosha nae ataleta vyake then ataniambia fata maji nkusaidie na vyako..
nkaona sasa ntakua stoki nje kuosha kwny sink ntaosha ndani hlo nkawa nmefaulu.
Jambo jipya saivi ni movie,mwanzo alianza kuniazma flash ila nkamtahadharisha kuna movie nyngne humo zafaa kuangalia peke ako nlikua na movie ya kiss&kill na love again kwa wapenzi wa movie ni moja ya love story kal sana
I mean "love again"ni movie moja matata sana celine dion yupo mle ndani..
Tuendelee.
Alponiomba nkawa nmempatia kuangalia alpomalz akarejesha,mazoea yameanz tna taratbu mwanzo alkua akiishia mlangon ila saiv anaingia anakaa anaangalia movie,muda mwngne naenda kuzurula namuacha gheto..
Kisa cha leo tangu asubuh sjatoka coz mvua ilikua inanyesha nimechezea cm bdae nkawasha tv nkaanza kucheki cartoon[tom &jerry]hahah napenda sana,bdae huyu hapa mlangoni akasema unaangalia katuni nkamjibu ee,ngja namimi nije niangalie nkamwambia karbu, yey:fulani adi saiv ujaamka ukiwa peke ako bana
Mimi:ndo hivyo sina haraka yyt sema hapa nipo na njaa kupka naskia uvivu vyombo vichafu hapa ntapka uck..
yeye:hata mimi nkiwaga peke angu waga nashnda njaa mara nyngne..haya naenda narudi..
Baada ya kama nusu saa alrud tkaangalia kdg katuni nkaona hapendelei sana,nkaweka ya nigeria hadi mida ya sa12 na nusu hv ikawa imeisha.
Ilipoisha nkaona bdo kakaa tu mi muda huo npo nimejilaza kwa bed,nkaweka ngoma t tkaendlea kuangalia na story za mapenz mapenz zmepamba moto kdog tanesco wakachkua jua lao giza tkakaa kdog,kabd mi niamke sasa ye nae akatoka ndo ktoa vyombo nioshe ili npke nile mara nae ndo akawa ametoa vyake na jiko la mkaa ndo akawasha hapo inaelekea sambili,ikiwa siku zote ye samoja waga mara nyng hkutwa anakula au anamalzia kupk..
ile naanza kuosha,akaniambia unaosha??htak nkusaidie,nkamwambia sawa nsaidie nlshkur make vyombo nlikua nnatumia t siosh,nlimwachia nkaenda kuoga nkarudi kumpgsha story akiwa anaosha vyombo,katka story story mara oh maswala ya namba ya simu,Ooh ungekua na namb yangu ya simu tngekua tnachat,nkamwambia ntakupa,nkamwandkia pale pale akantext..
sasa jambo lililonishtua aliniulza kesho unaenda wap?nkamjibu siendi popote.
Naomba kesho unsndkze klniki nampleka mtoto sjui kufanya fanya nini skuelew,nlikubal sabu niliona nkikataa
Tuendlee,tumalizie..
skukataa sabb nliona nikikataa haitopendeza ikiwa ye kamalza kusugua rundo la vyombo besen zima,hvyo nlikubali..
nlichkua vyombo tkachat chat vitext vya mitego had sa 4 nkamuacha.
iko hivi kinachonipa mimi maswali dhahania ni je niombe tunda?? Au nsbr yeye mpaka achokoze..ikumbukwe ni mwanamke ambae pia nkua namlia timing ila jamaa aliwah zaid kumchkua na kumuweka ndani..AU YOTE Anayofanya ni just a friend or neighborhood..
ILA MI AKINIPA LAZIMA NIPIGE,dalili za kupewa zipo ila zipo taratibu,yani hataki aone kama amejileta,kaul zake kila saa "yaani mimi sijui kuwa na mtu af niwe na mtu tena,sjui baba flan alinpataje,ila nlimzungusha"
mume wake naona katoka ndiyo maana naona uhuru leo umekua mkubwa
mimi huwaga srudii kusoma wala kuedit nlipokosea mfix,huwa nasoma nkiwa tayari nimeshapost,mnivumilie patakapo leta changamoto yoyote ya kisarufi.
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani paragraph mbili, itaendelea.
Anyways kwa kifupi jiandae kuwa mke mwenzie huyo mwanamke maana soon mumewe atakutatua rinda.
Mnafosi kuaga hili kundi letu la wanaume kwa lazima kila la kheri sisi bado tupo tunaendelea kuupambania huu upande wetu.Habari za wakati huu,

😂😂😂 season 2 itakua tamu Sana tuandae popcornNdio, inaitwa "jinsi nilivyotatuliwa marinda na mwanaume mwenzangu".
Hapo juu kaweka season ya kwanza. Season ya pili itakuwa fupi na episode moja tu ya jinsi alivyopakatwa na mume wa demu wake.
Yani paragraph mbili, itaendelea.
Anyways kwa kifupi jiandae kuwa mke mwenzie huyo mwanamke maana soon mumewe atakutatua rinda.
Vyuo vikuu vinafunguliwa lini jamani ili tupumzike humu jamvini?Sitarudi hii chai mbichi
pumbafu jiandae kufirwa,hujui kama wanawake ni shetani? ukimpotezea baadae atakuwa adui yako mkuu.mi ilinitokea nilivyoona ukalibu una anzaa nika anzisha visa tukagombana ili kukata nia yake,haikuishia apo akaanza kumwambia bwana ake oh namtongoza ni kaona poa tu
hahahah akili yako imewaza mbali sana,sema unaeza kwnda kupanga haya mambo uspate kabs,ila ukfankiwa jtahd kubalance shobo..kuna muda ongea na majran kuna muda wakunjie inshort usieleweke ukfanya hvyo ata kuna mambo ya chin chn yanaendlea watakufata kukuambia kila mtu kwa muda wake..NATAMANI KWENDA KUPANGA